Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
wewe umejuaje kama ni zuri? inamaana ulishawahi kufika, kama umeskia inamaana umeskia na sifa zake.
-ni mji msafi
-utulivu
-population ndogo hivyo hauna foleni na misongamano isiyo ya msingi.
-usalama
-hali ya hewa
-supu ya samaki buk3 tu
nk
Utulivu ziwaa population hakuna karaha nyingi maisha simple that is one
me huwa nahisi tabia za watu wake
Kila kitu kipo ukilinganisha na miji mingine hapa tanzania
mfano? hivi mwanza kuna highway ngapi?