Uzuri wa gari ni bodi

sio body tuh na exhaust kaka gari bila exhaust sio gari hiyoo...ni baiskeli..
 
Gari ni engine jamani !! Hata kama bodi inakaribia kuanguka ndani mambo safi !! Mtu anaiba gari lenye bodi safi lakini engine mbovu hajafanya kitu . Narudia " gari ni engine "
 
Haya jamani let's hit the gym ndo ujumbe tunaopewa na huyu bwana mdogo RRONDO.

Ni kweli kabisa anachokisema hata sisi tunawaangaliaga wakaka wazuri wazuri body zao. Kabla hata ya kuangalia viatu wala nywele.πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

TGIF.
Karucee
 
Ni swala la mtazamo tu mkuu. Mimi kwenye gari napenda tile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…