Uzuri wa CHADEMA katika mitandao ya kijamii ni huu apa!

alexander paulo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
492
Reaction score
155
Kitu ambacho kamwe maadui wa CHADEMA wamekishindwa ni katika matumizi ya mitandao ya kijamii! huwezi kukuta CHADEMA wanaitana kuja kujibu hoja yoyote ambayo umeletwa humu JF hii ni tofauti na CCM na wenzao!

Mara nyingi hawa CCM utawafaham tu wanaitanaa kwa haraka kuja kujibu hoja humu JF! Hiii ndio CHADEMA iliyojengwa kwa miaka 20 kwa mateso,kwa kubaguliwa,kwa kutukanwa,kupewa kesi za uongo,kutishiwa kufutwa,kupewa majina mabaya kama magaidi!

Hakika alichokipanga Mungu, Mwanadamu kamwe hawezi kukivuruga.
 
ass-kicking.gif
 
ngoja wakaitane, na hivi wanatumia ID moja zaidi ya watu watano, ni maajabu kwa chama chenye miezi kuwa na nguvu, kama sio nguvu ya soda ni nini? vyama vyote vimejengwa kwa muda mrefu.
 
kitu ambacho kamwe maadui Wa chadema wamekishindwa ni katika matumizi ya mitandao ya kijamii! huwezi kukuta chadema wanaitana kuja kujibu hoja yoyote ambayo umeletwa humu JF hii ni tofauti na ccm na wenzao! Mara nyingi hawa ccm utawafaham tu wanaitanaa kwa haraka kuja kujibu hoja humu jf! hiii ndio chadema iliyojengwa kwa miaka 20 kwa mateso,kwa kubaguliwa,kwa kutukanwa,kupewa kesi za uongo,kutishiwa kufutwa,kupewa majina mabaya kama magaidi! hakika ALICHOKIPANGA MUNGU BINADAM kamwe hawezi kukivuruga

.
sasa hivi kibaraka act anahangaika usiku kucha ikifanya kazi aliyotumwa na ccm ya kuuchonganisa ukawa. usalitii huu ulianzia ndani ya chama kabla ya hawa wasaliti kushtukiwa na kufukuzwa Chadema. sasa wanatelelea majuumu yao wazi bila kuficha.
HATUDANGANYIKI NGO!
 
kitu ambacho kamwe maadui Wa chadema wamekishindwa ni katika matumizi ya mitandao ya kijamii! huwezi kukuta chadema wanaitana kuja kujibu hoja yoyote ambayo umeletwa humu JF hii ni tofauti na ccm na wenzao! Mara nyingi hawa ccm utawafaham tu wanaitanaa kwa haraka kuja kujibu hoja humu jf! hiii ndio chadema iliyojengwa kwa miaka 20 kwa mateso,kwa kubaguliwa,kwa kutukanwa,kupewa kesi za uongo,kutishiwa kufutwa,kupewa majina mabaya kama magaidi! hakika ALICHOKIPANGA MUNGU BINADAM kamwe hawezi kukivuruga
Mungu wapi huyo anayepanga chama ambacho kinapata HATI YENYE MASHAKA kutoka kwa mkaguzi mkuu wa serikali kwa matumizi mabaya ya fedha pasipo kufuata utaratibu?
 
Kaite wenzako wewe unakuja mwenyewe
 
Chadema ni baba lao....CCM imeogopa sana...baada ya mpango wa kumuua Dr. Slaa kubumburuka, wakaona watekeleze plan B. ya ACT...lakini hakika nawaambia...ACT haiwezi kufika mbali...na inaiathiri zaidi CCM kuliko Chadema, Hebu fikiria, siku ya ujio wa ZZK MWANZA...Mwenyekiti wa CCM nyamagana ndiye alikuwa anagawa kadi za ACT...halafu akawapa Boda boda posho na pesa za mafuta ili wakampokee ZZK misungwi...halafu...kulikuwa na DEFENDER 7 za polisi.....
 
ni ngumu sana kupigana na chadema kwa sasa kwani kila mtanzania ni chadema
 
Chadema ni Imani, ni kama sala za kila siku ambazo muumini anasali kwa kumwamini Mungu wake...Ndivyo ilivyo kwa Chadema, lazima kwanza Uamini katika chama kwanza siyo mtu..ndiyo maana mtu anapohama Chadema kwenda Chama kingine kwa sababu ya ZZK huyo hakuwa na Imani katika chama bali alikuwa na Imani kwa mtu mmoja...
 
Mungu wapi huyo anayepanga chama ambacho kinapata HATI YENYE MASHAKA kutoka kwa mkaguzi mkuu wa serikali kwa matumizi mabaya ya fedha pasipo kufuata utaratibu?

Umeandika kwa huzuni Sana ka unalia hayo ya Hati chafu ni uzushi tu mbona huwakemei mafisadi.
 
Hakika Kila Alipangalo Mwenyez Mungu, Binadam Hawezi Lipangua, Sasa Hivi Hata Ukienda Vijijini, Mfano Nilikwenda Kwenye Ziala Moja Kwa Mwandosya, Kijijini Kabisa Tubibi Hata Kiswahili Hatujui, Ukimuuliza Bibi Utapia Chama Gani? Uasikia Bhukuti Chandema, Yani Wanasema Chadema, Nikasema Ee Kweli Hakuna Malefu Yasiyo Na Ncha.
 
yani chama kilipofikia sasa hakuna ambaye anaweza kukivuruga
 
Huo ndio ukwel wenyewe CDM tunayatwanga haya majamaa maccm kote kote bila kuitana wala
 
Back
Top Bottom