steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,677
- 14,007
Wakuu,heshma sana kwenu wanaharakati wenzangu,naomba wenye kuyajua magari haya waniambie je yana mazuri na mapungufu gani,na kwa upande wa upatikanaji wa spare na service zake zinagharimu sana au kawaida tu,hizi gari kimuundo zinafanana sana na toyota noah hasa zile old model,naombeni sana michango yenu wadau