mmmmh tabia na uzuri ni vitu viwili tofauti
kama unaona uzuri ni muhimu basi kila mwanamke angeolewa ...tofautisha kutamani na kupenda
uzuri wake utakusaidia nini katika kulea familia???tunajidangnya vijana wengi wa siku hizi kutokan na kukua kwa sayansi na kuiga na ndo mana ndoa hazidumu...wazee waliangalia tabia zaid yauzuri ndo mana ndoa zimedumu
naunga mkono juu ya agano mkuu Himidini lakini ninachojaribu kuwaza na kufikiria,si ule mtazamo walio nao vijana wengi wa leo,wa kuufanya uzuri kuwa ndo kila kitu,mkuu unawezaje kuanza tu kumchunguza mtu bila kupenda chochote juu yake hata iwe ni kucheka kwake,kutembea kwake au chochote?inawezekanaje?hata hilo agano nafikiri huja baada ya jinsia hizi mbili kuwa zimevutiana .
ukiipenda tabia yake utamwona mzuri tu hata aweje....sasa sijui ukimpenda sura yake kama lazima utaipenda tabia yake
^^
Nakubali na kuheshimu hisia za watu, kwangu mimi Inawezekana kuchagua tabia kwanza kabla ya uzuri wake!
To be honest, wengi wanavutiwa kwanza then ndio wanachunguza. Kwangu mimi I stand the opposite
^^
ukiipenda tabia yake utamwona mzuri tu hata aweje....sasa sijui ukimpenda sura yake kama lazima utaipenda tabia yake
my dada ICHANA napenda sana busara zako na jinsi unavyoyachukulia mambo kwa uzito na kihalisia zaidi,na mimi hapa wala sijakazia urembo wa mtu uwe ndio jambo la maana snaa bila kuzingatia tabia,ila ni kwamba je unaweza kuanza kumchunguza mtu bila kuvutiwa na kitu chochote kutoka kwake?kwa mfano wewe unaweza kutuambia ikiwa ulianza kumchunguza mumeo tabia zake moja kwa moja bila kuvutiwa na kitu chochote kutoka kwake?iwe ni sauti au tembea au chochote kile?
katika mahusiano epuka sana kumpenda mtu kwa sababu ya kitu flani labda kama uhusino wenu sio kudumu na uje maumbile tunabadilika...akimpenda mtu kitabia hta kama pua yake imepinda hutona hili tatizo
elewa kila mtu ana kipi anakipa kipaumbale mimi ntaangalia tabia zake ntachunguza tabia ndo hicho kinachonivutia na ntakitumia kumpata mume
Ili uanze kumfuatilia mtu tabia lazima kuwa na kitu kimoja au zaidi kimekuvutia kwake.
Yaweza kuwa umbo, sura , pesa, rangi yake au hata namna alivyokuhudumia.
Zamani kigezo kilikuwa ni tabia katika ndoa. Kwenye kijiji au mtaa watu wanajua kabisa kuwa watoto wa mzee fulani wanaheshima au wanatabia nzuri wanapeleka watoto wao kuoa hapo .
Maisha yamebadilika sana vijana wanaangalia uzuri wa umbo na sura wanawake wanajifake ili kupata ndoa watu wanakaa kwenye mahusiano miaka mitatu huyu mkoa huu na yule mkoa mwingine mnachunguzana saa ngapi mkikutana ni muda mfupi kila mtu anaona kampata mtu wa kweli shughuli wakiingia kwenye ndoa MUNGU ATUSAIDIE TUU KWAKWELI
sikufichi mkuu katika vitu ambavyo vinatatanisha ni mapenzi ,hayanaga hata notes lakini uzuri wa mwanamke(usiwe sana) nao ni moja ya vigezo lakini tabia ndo ina percent kubwamwekundu baba si vibaya kutamani mume/mke wako awe na mwonekano mzuri,lakini kwa mke/mme uzuri au urembo utakusaidia nini katika kufanya familia bora na yenye kudumu?unweza kutuelezea jinsi unavyofikiria wewe uzuri una nafasi gani katika kujenga familia nzuri yenye umoja upendo na amani?au hapa wewe unaongelea ugf na ubf?
sikufichi mkuu katika vitu ambavyo vinatatanisha ni mapenzi ,hayanaga hata notes lakini uzuri wa mwanamke(usiwe sana) nao ni moja ya vigezo lakini tabia ndo ina percent kubwa
^^
Ukimuuliza binti yeyote, ni taswira ya ipi ya mwanaume hataisahau, atasema ni yule aliyemtoa BIKRA,, hapa ndipo kuna maagano ya kiroho yaliyofanya ndoa nyingi zidumu. Pia upo ukweli usiosemwa, mwanaume pia humkumbuka mwanamke wake wa kwanza!
Kama mapatano hayo yalidumu, pia jamii ikaongeza sheria kali za kulinda ndoa basi mivuto lilikuwa jambo la mwisho kutazamwa, ila sasa ni la kwanza huku tabia ikiwa ya mwisho
^^
Hapa kuna ukweliIli uanze kumfuatilia mtu tabia lazima kuwa na kitu kimoja au zaidi kimekuvutia kwake.
Yaweza kuwa umbo, sura , pesa, rangi yake au hata namna alivyokuhudumia.
samahani tena...Samahni pia kama sitokujibu swali lako kwani linahusianje na maada niliyoitoa?