Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

Dah iringa!! Nilikaa mafinga na iringa mjini wkt flani. Naikumbuka twistaz club kule gangilonga mademu wa kumwaga ukimwi wa kujiokotea! Nimemis sana pande zile one day ntatimba tena.
Ile haipotena kunanyingine now
 
Niličhokipenda Iringa ni Kitimoto na bagia za Kunde.Ntarudi tena Kihesa ,Ntarudi tena CCM.
 
Ungekuwa unaongozakwa ngono zembe basi ungeonoa kwa kuzaliana jomba, lakini matokeo yake ni moja kati ya mikoa ambayo rate ya kuzaliana ni ndogo sana
Unaongoza kwa ukimwi na maambuki ukichuanna na Njombe (zamani wilaya ya Iringa) na Mbeya. Hii mikoa 3 ndo hubadilisha nafasi 3 za mwanzo Ukimwi unapohusika.
 
Hhhhaa..mie nimezaliwa Lugoda hosp..then tumeishi miaka huko tea estates... Kibaoni had huko Kitasengwa nakufaham mnooo..!enzi hizo dingi alitununulia Yamaha honda ..bas hizo area nimefika kote!
Kule tuseme ukwel..labda kuwe kuzuri kimkakati kuanzia 2012! Lkini kule wenye nacho ni wale walee ..niliacha umaskini wa ajabu mno! Aku kaeni tu!
We jamaa utakuwa umesoma brooke bond na mzee ako alikuwa kibopa. Pale lugoda mmeondoka mwaka gani
 
We jamaa utakuwa umesoma brooke bond na mzee ako alikuwa kibopa. Pale lugoda mmeondoka mwaka gani
Amestaafu 2012! Maisha tuliyoishi ukweli sitaman mwingine aishi...ndo maana nasema Kule uwe na hela zako utapapenda lasivyo kugumu mnoo
 
Mwenye data atuambie, ni kweli iringa iko kwenye TOP 3 ya Mikoa inayoongoza kwa UKIMWI Tanzania? Kwa nini?
 
Mwenye data atuambie, ni kweli iringa iko kwenye TOP 3 ya Mikoa inayoongoza kwa UKIMWI Tanzania? Kwa nini?
mila na tamaduni za kihehe za mitala.(wake wengi mume mmoja),(polygamy) ndicho kikubwa kinachouponza mkoa linapokuja swala la H.I.V. Mkwawa mwenyewe alikua na rundo la wanawake, na hyo ipo till 2day.
 
Mara ya kwanza napita iringa kuelekea mbeya ....nilishangaa Mazingira,up to wa asili ,,,,Mji ulivyo ....Ili nibidi nimpigie mama nimwambie Hapa ndo sehu yangu ya kuishi......as wayback mama alipenda kusimulia kuhusu iringa maana alisoma Hapo Tosamaganga
 
Back
Top Bottom