Uzoefu wangu kuitwa na Kamati ya Bunge: Japo ameitwa kwa dharau, kwa kutishiwa pingu, lakini kiukweli CAG ameheshimiwa sana!

Maneno ya spika ya "HOVYO HOVYO" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Spika akiwa nje ya Bunge huwa na maneno mabaya sana ndiyo maana kule jimboni kwake alimpiga mtu kwa Bakora mpaka akazimia ni baada ya yeye kumtukana na jamaa akamjibu ndipo akapandwa na hasira akajichukulia sheria mkononi na kumtwanga bakora, kwa kifupi ana maneno ya hovyo hovyo sana hata kumwita CAG kwa kumtishia Pingu hayo ni maneno ya hovyo zaidi.
 
kwa hiyo CAG akienda anapewa Kesi anapotezwa mazima.sio?
 
Kw hiyo alieongea na vyombo vya hbr akasema bunge ni dhaifu ni C.A.G? AU NI MUSSA ASSAD?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hivi umejuaje anakubalika huko mbinguni?

Huyo Mungu kakuambia?

Hoja za matoto hizi!
 
Mayala ong'wise utaitwa tena kwenye kamati, unamsema mbunge kilaza? Na supika unamsema ana maneno mbofu mbofu? shauri yako!
 
Hivyo mdogo mdogo tutaelewa kiluchokupata rafiki yetu ,tunasubiri tukio lingine utudokoleee kidogo tena baadae tutaunganisha tutapata hadirhi nzima!
Mayala wewe si mtu wa kunyamazishwa kijinga jinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal, asante kwa maelezo mazuri.
Some few observations
1. Umesema makosa ya mtu mmoja yasiwe makosa ya kuliita bunge letu Dhaifu. Swali, mtu mmoja ni yupi? Spike kwa mifumo ya Umungu -Mtu ya kwetu, huyu ndiye Bunge. Kauli yake ni ya Kimungu. Hakuna wa kuipinga. Hivyo lolote atakalolifanya, atakalolisema limesemwa na bunge. After all, POWER IS INVARIABLY PERSONAL, THERE IS NO GROUP POWER! Ndugai anapokuja bungeni, hata nje ya bunge anakuwa na powers zote za bunge mfukoni mwake. Akiwa na ajenda haileti pale ijadiliwe in the real sense, anakuwa na maamuzi yake tayari, ukiyakaidi anakufukuza mwaka mzima kama Mdee et al!
2. Kwa utawala uliopo, dictatorial regime, CAG anaweza akatiwa pingu, maana katiba , sheria zinavunjwa kila leo.
3. Ndugai ni handmaiden, lakini Mistress yuko. Linalojamba ni tumbo, anus opening is an outlet only (to quote somebody on this forum)
4. By the way, in passing, mbona ulipotoka huko DDM kwenye "kikaango" you maintained a very low profile with compromised intellectual thinking! Naogopa usije ukaitwa tena maana umeweka nondo tena kwenye andiko lako!

Have a blessed weekend!
 

CAG asiende kwa sababu mbili 1. atakuwa ameharibu kisheria nafasi na uhuru wa cheo kwa miaka ijayo 2. Hakufanya kosa lolote hivyo Spika au yeyote wangetakiwa kwenda mahakamani kumshitaki na ashitakiwe na polisi na sio kwenye kwenye kamati kwa sababu za kijinga
 
Umeeleweka pascal, nakuhofia tu usitumiwa watu wasiojulikana ukapotea, jihadhari bora unyamaze
 


Naomba kuchafua hali ya hewaa....
Wengi wetu hatujapata ku tafakari kwa kina ni mchezo gani una endelea?????
Kwanza,kitendo cha Spika kumtaka CAG afike kwenye kamati,kwamahojiano kwa lugha Spika aliyo itumia ilikuwa lugha chonganishi(provocative)kwa mtu yeyote lazima hasira ikupande na kukutoa kwenye lengoo,kitu ambacho CAG ameweza shinda mtego wa kwanza
Cha pili sasa
Inasubiriwa,Jee CAG atakuja dodoma??
Endapo atakuja aneenda kukumbana na yafuatayo;
Kuu ni yeye kutambua kwanini kaitwa
Kupewa a,b,c ni vipi anatakiwa kufanya kazi kuendana na serikali hii..
Kuu likiwa ni u siri madhubuti,kumtaka CAG awe msiri,
Kingine asijaribu kutoa maoni yake kuhusu mienendo,mtazamo kuhusu serikali kwani kwa kufanya ivyo atahatarisha Lengo kuu la serikali,yeye binafsi na taasisi anayo itumikia,kwani mpaka sasa ameibua mijadala iliyo kuwa si rasmi kuu likiwa matumizi yasiyo rasmi ya pesa za tanzania(watanzania)kwa ujumla wetuu,taasisi Nyeti iliyo baki na inayo umiza kichwa ni hii CAG...
Yeye ndiye msimamizi wa pesa zote Hazina
Ikumbukwe pia uchaguzi si mbali,kwani kwa wapinzani wakishikilia katika hili likiwa moja wapo itachafua taswira ya serikali

Jee endapo CAG hato enda nini kitatokea?
Hakuna,ila atakuwa ameipa serikali kwa ujumla wake wakati mgumu,kwanza kwa yeye kusema ukweli,hili ni tatizo lakini pia kwa makosa kujulikana hili ni tatizo zaidi.
Ushauri..
CAG anahitaji kucheza Safi kila kona kwani kuiambia serikali kuwa ina dosari pahala ni kuwa wewe ni mtu wanaotakiwa ku kaa nawe kwa taadhari,wachache wanaweza kukuelewa ila wengi tena wenye ushawishi wanaweza kuwa na mawazo tofauti..
Ushauri,
Tusitumie nguvu kubwa kulinda maslahi ya watu fulani la hasha..
Tuheshimu taaasisi mbali mbali kwa dhamana tulizo wapa,zifanye kazi kwa weledi,bila upendeleo pia tuwe teyari kujirekebisha pindi twapo teleza
NB.
Katiba inatoa uhuru kwa kila Mwananchi kutoa maoni yake..
 
Nimeshindwa mimi. Sijui unataka magoli mangapi? Point zinabaki zilezile. Ufunge goli moja au mia haijalishi. Spika wa maneno mbofumbofu na hovyohovyo. Mhimili unaojiinua juu kuliko mingine na kujitwalia mamlaka ya kuhukumu. Hayo na mengine hayawezi kusemwa na mtu aliyetishika. Jasiri. Kunyamaza wakati mwingine sio woga. Dawa ya mpuuzi ni kumpuuza. Don't argue with a fool. Lakini siku mojamoja kama leo anasema kiduchu. Waelewa tutaelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…