minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Spika akiwa nje ya Bunge huwa na maneno mabaya sana ndiyo maana kule jimboni kwake alimpiga mtu kwa Bakora mpaka akazimia ni baada ya yeye kumtukana na jamaa akamjibu ndipo akapandwa na hasira akajichukulia sheria mkononi na kumtwanga bakora, kwa kifupi ana maneno ya hovyo hovyo sana hata kumwita CAG kwa kumtishia Pingu hayo ni maneno ya hovyo zaidi.Maneno ya spika ya "HOVYO HOVYO" 😂😂😂