Uzoefu wangu kuitwa na Kamati ya Bunge: Japo ameitwa kwa dharau, kwa kutishiwa pingu, lakini kiukweli CAG ameheshimiwa sana!

msukuma huyu,hawezi kuficha msimamo,hata akijifanya mnafiki kuna siku ukimbana anakuwa mkweli,hajifichi,ndivyo walivyo wenzetu hawa.
Hii ishu imembana sana ndio maana kajitahidi kuremba lugha ila ndani yake msimamo unaonekana,kwamba yeye kama mwanasheria hawezi kuona Katiba ikichezewa,akakaa kimya,imemtibua msukuma msomi wa Sheria na btw lines anaonyesha katibuka kweli,basi tu hana uwezo wa kudili na kiti cha mjengoni ha ha haa!Nadhani mzee Assad akivunja Katiba kwa kukubali kuhojiwa,kaeni karibu na Paskali,asije akamuibukia huko huko na kumzuia getini,wasukuma nawapendaga hapo tuu
 

Naomba kuelimishwa

hivi ikatokea ukagoma wito, bunge linakufungulia kesi ya aina gani? kifungu gani?

ukikataa wito kwa kufungua kesi mahakamani inakuwaje?

ukaitwa, ukafika kisha usijibu chochote kile mwanzo mwisho bunge wanakufanya nini?

je wakigundua wamekosea kukuita na wamekuonea wanawajibikaje??
 
Mkuu hivikilijiri nini kwenye mahojiano yale
 
Pole sana mkuu kwa kukabiriana na matamushi ya hovyo hovyo ya mtani wako Matonya...

Lakin kitu kimoja elewa, hulika ya mtani wako ndo hulika ya Jiwe, still bado unapata ujasiri wa kumtetea jiwe kwa kigezo cha uskuma regardless matendo yake yapingana na katiba ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pascal angalia usije ukaitwa tena manake naona kila sentensi inataja udhaifu ama wa mkuu wa chombo ama chombo chenyewe!!! Utaenda kupata experiance nyingine ili uwe mmbobezi!
 
Japo umechelewa kujilipua poa tu, umetema nyongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Wakati tukisubiri 21 Jan ifike ni bora ungempa ushauri CAG lugha ya kutumia kama ikitokea siku hiyo atafungwa pingu na kupelekwa kwenye kamati.
Nasikia mkuu ulimwaga lugha ya malikia hadi wanakamati wote wakapoteana.

Kwenye hili sina shaka na Prof.

Tunashukuru pia kwa kutuambia CAG kaitwa kwa barua rasmi na sio presi konferensi
 
Bonge la story, wakuelewa ame elewa, Asante. Furahi dei njema nawe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…