Uzoefu wangu kuitwa na Kamati ya Bunge: Japo ameitwa kwa dharau, kwa kutishiwa pingu, lakini kiukweli CAG ameheshimiwa sana!

Nadhani Prof. Asad akienda itampa sifa kubwa zaidi .
Spika atajinyenyekesha mbele yake sana.
Mana Prof. Asad ni mteule wa Rais mwenye Kinga ya kuitwa na kuhojiwa mambo ya ajabu ajabu kama hayo.

Kwanza Pof.Asad akienda sio kujidhalilisha bali itampa sifa kubwa sana mana itaonyesha ulimwengu wazi jinsi ubinadamu wanavyoweza kuundiwa mashtaka ya uongo chini kwa vitisho.

Baada ya kuitikia witi ndipo Wanaharakati watakapofungua Kesi kuhoji kwa nini spika ametumia mamlaka yake vibaya kumtisha na kumdhalilisha CAG kinyume na katiba.

Spika anataka kuonyesha kuwa uimara wa Bunge ni kuwashughulikia wananchi wanaotoa maoni yao huku likishindwa kuisimamia na kuiwajibisha serikali.

CAG asipoenda spika ataendelea kumtisha kwa sababu spika anajua kiti chake hakiguswi na yeyote nje ya Bunge kwa sababu mpaka sasa hatuoni Chama tawala kikizungumza jambo lolote juu ya CAG kudhalilishwa na kutishwa kama kibaka.
Spika Job anajukwa la kuendelea kumtisha na kumdhalilisha CAG ndani na nje ya Bunge wakati ambapo CAG hana pa kusemea mpaka ahojiwe na vyombo vya habari.
Kumkata kilimilimi Job na baadhi ya bendera fuata upepo walioko ndani ya CCM ni CAG kwenda kwa heshma yote ili amalize mjadala na vitisho.

Pia itakua ni fursa nzuri kwa CAG kuwapa somo ili waone udhaifu wao wakati wa kijadili ripoti aliyoiibua

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko kwenye Pingu

CAG akienda ataonekana ameogopa pingu

Sasa kwa mtu ambae katiba ina mlinda kwa kiasi kile,akifanyiwa hivi na akaenda itaset a very bad precedent kwenye mambo ya kuheshim katiba na sheria

Kanuni za bunge ni nini kwa sheria mama? Katiba.

Kosa ilikuwa namna Ndugai alivyokosa hekima na kumwita CAG hovyo, otherwise Ningemshaur CAG aende kuitikia wito,lakini kwa namna alivyoitwa yampasa asiende

Yaan nataman hata nifanye lolote ikiwemo kumfichia nguo zake hiyo siku ili tu asiende

bunge halina katiba ila lina sheria, kanuni na taratibu
 
Wanabodi,

Japo CAG ameitwa na Spika kwa dharau kwa kutishiwa kuletwa kwa pingu, lakini nikilinganisha na mimi nilipoitwa na kamati hiyo, kiukweli kabisa CAG ameheshimiwa sana haswa kwa ile tuu kuitwa na kutajiwa tarehe ya wito.
My Story.

Tangu nilipoitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa kosa kama la CAG la kulidhalilisha Bunge, sijawahi kuleta mrejesho wa nini kilijiri katika mahojiano hayo, na huu sio mrejesho bali ni uzoefu tuu wa kulinganisha kuitwa kwangu na kuitwa kwa CAG.
Chanzo cha Mimi Kuitwa.

Mimi niliuliza tuu humu jf kama " Jee Bunge Linajipendekeza kwa serikali?..". Gazeti lika peak na kuiifanya ni headline story ila alama ya kuuliza ikiwemo.

Mhe. Mbunge mmoja kama vile ni kilaza fulani, akaibuka na gazeti bungeni, akaisoma headline as a statement bila kuweka alama ya kuuliza.

Ndipo Spika akalipokea.

Spika na Maneno Mbofumbofu!.
Hata mimi nilipoitwa, Spika alitamka maneno fulani ya hovyo hovyo kunihusu ambayo hayahusu, ila kwa vile mimi ni nobody, maneno ya hovyo hovyo ya Spika kwa someone who is nobody, didn't matter much, lakini kumuita GAG kwa maneno ya kumtishia kwa pingu, kiukweli kabisa, it was uncalled for. Bunge letu lisikubali udhaifu binafsi wa viongozi wa Bunge kulifanya Bunge lidharauliwe. Mhe Spika nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo anaweza kukosea kubinaadamu tuu, lakini tusikubali kuutetea udhaifu binafsi wa kibinadamu kwa kuuoanisha au kuuingiza kwenye uspika wa Bunge letu tukufu.

GAG Kapewa Muda wa Kutosha, Hii ni Heshima Kubwa.
Mimi nilipoitwa na Spika, alitangaza tuu Bungeni kuwa tutaitwa, lakini hakutangaza siku. Lakini kuitwa kwa CAG, tangu ile Press Conference, Spika ameitaja tarehe 21 Jan.

Barua Rasmi ya Wito.
Mimi tangu nilipotangwa kuitwa hadi kupewa barua, kilipita kipindi kirefu, lakini CAG kaitwa kwa kupangiwa tarehe tayari na baada ya siku 3, amepelekewa barua rasmi akiwa na siku zaidi ya 10 za kujiandaa kabla hiyo tarehe ya kuhojiwa.

Mimi niliitwa Ofisi ya ndogo ya Bunge na kukabidhiwa barua ya wito saa 9:00 mchana wa leo, kuifungua barua unatakiwa uwepo viwanja vya Bunge kesho yake asubuhi. Sasa mtu unajiuliza huu wito wa saa 9:00 mchana, kutakiwa Dodoma asubuhi ya siku inayofuata kwa usafiri gani wa public transport?!, unless kila anayeitwa kuhojiwa na kamati ya Bunge ana assume perliamentarian status anakuwa na shangingi, anajaza tuu mafuta na kuelekea Dodoma.

Thanks God, sisi wengine kwetu ni Gambosh, ile kufunga tuu macho, kufungua unajikuta uko Bungeni Dodoma tayari kuhojiwa, umekujaje, umetumia usafiri gani, only God knows!.

Hivyo kuitwa kwa CAG, wengi wanaona kama ameitwa kwa kudharauliwa kwa kutishiwa asipoitika wito, atapelekwa kwa pingu, mimi naamini mtu kama mimi niliyeletewa barua leo na kutakiwa kuripoti kesho yake ningeshindwa ndio pingu zingenihusu, lakini kwa mtu kama CAG kuitwa kwa kutishiwa pingu, is not right at all.

Justification ya Wito.
Mamlaka ya Spika kumsummon mtu yoyote mbele ya kamati kwa kulidharau Bunge yako kwenye sheria na kanuni na sio kwenye katiba. Kinga ya CAG kutokuhojiwa na yeyote zaidi ya Mahakama iko kwenye katiba na kwenye sheria. Inapotokea sheria yoyote ikakinzana na Katiba, Katiba ndio supremacy na sheria inayompa mamlaka Spika kumsummon mtu yoyote ni batili.Tangu lini sheria na kanuni tuu ikaizidi katiba?.

Huku ni sawa na masikio kuzidi kichwa!. Japo Spika amemuita CAG kwa mujibu wa mamlaka yake, lakini mkisikia mambo ya mihimili kujiinua kuvuka mipaka ya mamlaka yake ndiko huku, watu wote wenye kuheshimu katiba na sheria, watamshangaa sana CAG kama ataitika wito huu kwa kuogopa tishio la pingu. Sisi ambao ni washabiki wa kuheshimiwa kwa katiba na kutekelezwa kwa sheria, taratibu na kanuni, tunapenda kuona huu mtanzuko ukimalizika kwa kufunuliwa kwa sheria batili ya mamlaka ya Spika na katiba ikiheshimiwa.

Tunasubiri kwa hamu hiyo tarehe 21, ila kwa sisi waelewa, ukiona watoto wawili wa baba mmoja, mmoja anasema ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba, halafu yule mwenye udhaifu badala ya kukanusha udhaifu wake ndio kwanza anamtishia mwenzake kuwa atamkomesha, na huku baba amenyamaza kimya tuu, wa kuelewa tumeelewa!.

NB. Naomba msiniulize kilichojiri kwenye mahojiano yale, nawaombeni sana mniruhusu ni reserve my comments.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali

Umesema vizuri Paskali, mimi nimepata point tatu za muhim katika andiko lako kama ifuatavyo:
1) Spika ni dhaifu, na udhaifu wake hii wa kibinaadam unafanya bunge lote kuonekana dhaifu.
2) Wito wa spika dhidi ya CAG ni "uchwara" kwasababu unavunja katiba, ambayo ndio sheria mama juu ya visheria vyote na vikanuni vyote vya nchi. Zaidi, wito umejaa dharau na vitisho.
3) CAG asitii wito huu uchwara kwani kufanya hivyo ni kudhalilisha utu wake na cheo chake chenye heshma kubwa.
 
Wanabodi,

Japo CAG ameitwa na Spika kwa dharau kwa kutishiwa kuletwa kwa pingu, lakini nikilinganisha na mimi nilipoitwa na kamati hiyo, kiukweli kabisa CAG ameheshimiwa sana haswa kwa ile tuu kuitwa na kutajiwa tarehe ya wito.
My Story.

Tangu nilipoitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa kosa kama la CAG la kulidhalilisha Bunge, sijawahi kuleta mrejesho wa nini kilijiri katika mahojiano hayo, na huu sio mrejesho bali ni uzoefu tuu wa kulinganisha kuitwa kwangu na kuitwa kwa CAG.
Chanzo cha Mimi Kuitwa.

Mimi niliuliza tuu humu jf kama " Jee Bunge Linajipendekeza kwa serikali?..". Gazeti lika peak na kuiifanya ni headline story ila alama ya kuuliza ikiwemo.

Mhe. Mbunge mmoja kama vile ni kilaza fulani, akaibuka na gazeti bungeni, akaisoma headline as a statement bila kuweka alama ya kuuliza.

Ndipo Spika akalipokea.

Spika na Maneno Mbofumbofu!.
Hata mimi nilipoitwa, Spika alitamka maneno fulani ya hovyo hovyo kunihusu ambayo hayahusu, ila kwa vile mimi ni nobody, maneno ya hovyo hovyo ya Spika kwa someone who is nobody, didn't matter much, lakini kumuita GAG kwa maneno ya kumtishia kwa pingu, kiukweli kabisa, it was uncalled for. Bunge letu lisikubali udhaifu binafsi wa viongozi wa Bunge kulifanya Bunge lidharauliwe. Mhe Spika nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo anaweza kukosea kubinaadamu tuu, lakini tusikubali kuutetea udhaifu binafsi wa kibinadamu kwa kuuoanisha au kuuingiza kwenye uspika wa Bunge letu tukufu.

GAG Kapewa Muda wa Kutosha, Hii ni Heshima Kubwa.
Mimi nilipoitwa na Spika, alitangaza tuu Bungeni kuwa tutaitwa, lakini hakutangaza siku. Lakini kuitwa kwa CAG, tangu ile Press Conference, Spika ameitaja tarehe 21 Jan.

Barua Rasmi ya Wito.
Mimi tangu nilipotangwa kuitwa hadi kupewa barua, kilipita kipindi kirefu, lakini CAG kaitwa kwa kupangiwa tarehe tayari na baada ya siku 3, amepelekewa barua rasmi akiwa na siku zaidi ya 10 za kujiandaa kabla hiyo tarehe ya kuhojiwa.

Mimi niliitwa Ofisi ya ndogo ya Bunge na kukabidhiwa barua ya wito saa 9:00 mchana wa leo, kuifungua barua unatakiwa uwepo viwanja vya Bunge kesho yake asubuhi. Sasa mtu unajiuliza huu wito wa saa 9:00 mchana, kutakiwa Dodoma asubuhi ya siku inayofuata kwa usafiri gani wa public transport?!, unless kila anayeitwa kuhojiwa na kamati ya Bunge ana assume perliamentarian status anakuwa na shangingi, anajaza tuu mafuta na kuelekea Dodoma.

Thanks God, sisi wengine kwetu ni Gambosh, ile kufunga tuu macho, kufungua unajikuta uko Bungeni Dodoma tayari kuhojiwa, umekujaje, umetumia usafiri gani, only God knows!.

Hivyo kuitwa kwa CAG, wengi wanaona kama ameitwa kwa kudharauliwa kwa kutishiwa asipoitika wito, atapelekwa kwa pingu, mimi naamini mtu kama mimi niliyeletewa barua leo na kutakiwa kuripoti kesho yake ningeshindwa ndio pingu zingenihusu, lakini kwa mtu kama CAG kuitwa kwa kutishiwa pingu, is not right at all.

Justification ya Wito.
Mamlaka ya Spika kumsummon mtu yoyote mbele ya kamati kwa kulidharau Bunge yako kwenye sheria na kanuni na sio kwenye katiba. Kinga ya CAG kutokuhojiwa na yeyote zaidi ya Mahakama iko kwenye katiba na kwenye sheria. Inapotokea sheria yoyote ikakinzana na Katiba, Katiba ndio supremacy na sheria inayompa mamlaka Spika kumsummon mtu yoyote ni batili.Tangu lini sheria na kanuni tuu ikaizidi katiba?.

Huku ni sawa na masikio kuzidi kichwa!. Japo Spika amemuita CAG kwa mujibu wa mamlaka yake, lakini mkisikia mambo ya mihimili kujiinua kuvuka mipaka ya mamlaka yake ndiko huku, watu wote wenye kuheshimu katiba na sheria, watamshangaa sana CAG kama ataitika wito huu kwa kuogopa tishio la pingu. Sisi ambao ni washabiki wa kuheshimiwa kwa katiba na kutekelezwa kwa sheria, taratibu na kanuni, tunapenda kuona huu mtanzuko ukimalizika kwa kufunuliwa kwa sheria batili ya mamlaka ya Spika na katiba ikiheshimiwa.

Tunasubiri kwa hamu hiyo tarehe 21, ila kwa sisi waelewa, ukiona watoto wawili wa baba mmoja, mmoja anasema ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba, halafu yule mwenye udhaifu badala ya kukanusha udhaifu wake ndio kwanza anamtishia mwenzake kuwa atamkomesha, na huku baba amenyamaza kimya tuu, wa kuelewa tumeelewa!.

NB. Naomba msiniulize kilichojiri kwenye mahojiano yale, nawaombeni sana mniruhusu ni reserve my comments.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Ukilisoma bandiko lako waweza kulichukulia rahisi sana lakini kama upo makini na kilichoandikwa humo wewe P ni hazina ya jf Mungu akubaliki sana uandishi wako huwa naupenda na kuulewa ndio maana ktk mabandiko yako sijawahi kuwa na shaka na wewe yahitaji akili tu na utulivu kukuelewa na kujifunza vitu toka kwako.
 
Sasa Paskali Assad ni Profesa NA tena ni Alhaj, hii maana yake ni kwamba anakubalika kote Mbinguni na Duniani kwa viwango vya juu lazima aheshimiwe.

Wewe na Mdee na huyo aliyewaita mnakubalika hapa duniani tu tena kwa kiwango cha vidigirii tu hata udaktari wa falsafa hamna ni halali yenu kuitwa kama aitwavyo PUSI aka Nyau.

Prof alhaj Assad ni level nyingine mkuu......... Na huo ndio ukweli mchungu!
Ujumbe wa msingi wa Mayala ni kuonesha tofauti ya sheria na katiba, na Si kujifananisha na CAG. Hongera mayala!
 
Nadhani Prof. Asad akienda itampa sifa kubwa zaidi .
Spika atajinyenyekesha mbele yake sana.
Mana Prof. Asad ni mteule wa Rais mwenye Kinga ya kuitwa na kuhojiwa mambo ya ajabu ajabu kama hayo.

Kwanza Pof.Asad akienda sio kujidhalilisha bali itampa sifa kubwa sana mana itaonyesha ulimwengu wazi jinsi ubinadamu wanavyoweza kuundiwa mashtaka ya uongo chini kwa vitisho.

Baada ya kuitikia witi ndipo Wanaharakati watakapofungua Kesi kuhoji kwa nini spika ametumia mamlaka yake vibaya kumtisha na kumdhalilisha CAG kinyume na katiba.

Spika anataka kuonyesha kuwa uimara wa Bunge ni kuwashughulikia wananchi wanaotoa maoni yao huku likishindwa kuisimamia na kuiwajibisha serikali.

CAG asipoenda spika ataendelea kumtisha kwa sababu spika anajua kiti chake hakiguswi na yeyote nje ya Bunge kwa sababu mpaka sasa hatuoni Chama tawala kikizungumza jambo lolote juu ya CAG kudhalilishwa na kutishwa kama kibaka.
Spika Job anajukwa la kuendelea kumtisha na kumdhalilisha CAG ndani na nje ya Bunge wakati ambapo CAG hana pa kusemea mpaka ahojiwe na vyombo vya habari.
Kumkata kilimilimi Job na baadhi ya bendera fuata upepo walioko ndani ya CCM ni CAG kwenda kwa heshma yote ili amalize mjadala na vitisho.

Pia itakua ni fursa nzuri kwa CAG kuwapa somo ili waone udhaifu wao wakati wa kijadili ripoti aliyoiibua

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna haja ya kwenda kama kweli ameapa kuilinda katiba ambayo imempa kinga kama akienda atakuwa amekwenda kinyume na katiba, sasa sijui atakuwa anasimamia wapi kama siyo katiba inayomlinda. Katiba imekataza asiitwe na mtu yeyote isipokuwa mahakama. Sasa kwanini aende kuitika wito ambao siyo wa kisheria na inaeleweka kuwa spika anatumia sheria na kanuni za bunge wakati CAG anakinga ya katiba ya nchi. Hata hao police watamkamata kwa sheria gani mtu mwenye kinga ya katiba ya nchi.
 
Wanabodi,

Japo CAG ameitwa na Spika kwa dharau kwa kutishiwa kuletwa kwa pingu, lakini nikilinganisha na mimi nilipoitwa na kamati hiyo, kiukweli kabisa CAG ameheshimiwa sana haswa kwa ile tuu kuitwa na kutajiwa tarehe ya wito.
My Story.

Tangu nilipoitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa kosa kama la CAG la kulidhalilisha Bunge, sijawahi kuleta mrejesho wa nini kilijiri katika mahojiano hayo, na huu sio mrejesho bali ni uzoefu tuu wa kulinganisha kuitwa kwangu na kuitwa kwa CAG.
Chanzo cha Mimi Kuitwa.

Mimi niliuliza tuu humu jf kama " Jee Bunge Linajipendekeza kwa serikali?..". Gazeti lika peak na kuiifanya ni headline story ila alama ya kuuliza ikiwemo.

Mhe. Mbunge mmoja kama vile ni kilaza fulani, akaibuka na gazeti bungeni, akaisoma headline as a statement bila kuweka alama ya kuuliza.

Ndipo Spika akalipokea.

Spika na Maneno Mbofumbofu!.
Hata mimi nilipoitwa, Spika alitamka maneno fulani ya hovyo hovyo kunihusu ambayo hayahusu, ila kwa vile mimi ni nobody, maneno ya hovyo hovyo ya Spika kwa someone who is nobody, didn't matter much, lakini kumuita GAG kwa maneno ya kumtishia kwa pingu, kiukweli kabisa, it was uncalled for. Bunge letu lisikubali udhaifu binafsi wa viongozi wa Bunge kulifanya Bunge lidharauliwe. Mhe Spika nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo anaweza kukosea kubinaadamu tuu, lakini tusikubali kuutetea udhaifu binafsi wa kibinadamu kwa kuuoanisha au kuuingiza kwenye uspika wa Bunge letu tukufu.

GAG Kapewa Muda wa Kutosha, Hii ni Heshima Kubwa.
Mimi nilipoitwa na Spika, alitangaza tuu Bungeni kuwa tutaitwa, lakini hakutangaza siku. Lakini kuitwa kwa CAG, tangu ile Press Conference, Spika ameitaja tarehe 21 Jan.

Barua Rasmi ya Wito.
Mimi tangu nilipotangwa kuitwa hadi kupewa barua, kilipita kipindi kirefu, lakini CAG kaitwa kwa kupangiwa tarehe tayari na baada ya siku 3, amepelekewa barua rasmi akiwa na siku zaidi ya 10 za kujiandaa kabla hiyo tarehe ya kuhojiwa.

Mimi niliitwa Ofisi ya ndogo ya Bunge na kukabidhiwa barua ya wito saa 9:00 mchana wa leo, kuifungua barua unatakiwa uwepo viwanja vya Bunge kesho yake asubuhi. Sasa mtu unajiuliza huu wito wa saa 9:00 mchana, kutakiwa Dodoma asubuhi ya siku inayofuata kwa usafiri gani wa public transport?!, unless kila anayeitwa kuhojiwa na kamati ya Bunge ana assume perliamentarian status anakuwa na shangingi, anajaza tuu mafuta na kuelekea Dodoma.

Thanks God, sisi wengine kwetu ni Gambosh, ile kufunga tuu macho, kufungua unajikuta uko Bungeni Dodoma tayari kuhojiwa, umekujaje, umetumia usafiri gani, only God knows!.

Hivyo kuitwa kwa CAG, wengi wanaona kama ameitwa kwa kudharauliwa kwa kutishiwa asipoitika wito, atapelekwa kwa pingu, mimi naamini mtu kama mimi niliyeletewa barua leo na kutakiwa kuripoti kesho yake ningeshindwa ndio pingu zingenihusu, lakini kwa mtu kama CAG kuitwa kwa kutishiwa pingu, is not right at all.

Justification ya Wito.
Mamlaka ya Spika kumsummon mtu yoyote mbele ya kamati kwa kulidharau Bunge yako kwenye sheria na kanuni na sio kwenye katiba. Kinga ya CAG kutokuhojiwa na yeyote zaidi ya Mahakama iko kwenye katiba na kwenye sheria. Inapotokea sheria yoyote ikakinzana na Katiba, Katiba ndio supremacy na sheria inayompa mamlaka Spika kumsummon mtu yoyote ni batili.Tangu lini sheria na kanuni tuu ikaizidi katiba?.

Huku ni sawa na masikio kuzidi kichwa!. Japo Spika amemuita CAG kwa mujibu wa mamlaka yake, lakini mkisikia mambo ya mihimili kujiinua kuvuka mipaka ya mamlaka yake ndiko huku, watu wote wenye kuheshimu katiba na sheria, watamshangaa sana CAG kama ataitika wito huu kwa kuogopa tishio la pingu. Sisi ambao ni washabiki wa kuheshimiwa kwa katiba na kutekelezwa kwa sheria, taratibu na kanuni, tunapenda kuona huu mtanzuko ukimalizika kwa kufunuliwa kwa sheria batili ya mamlaka ya Spika na katiba ikiheshimiwa.

Tunasubiri kwa hamu hiyo tarehe 21, ila kwa sisi waelewa, ukiona watoto wawili wa baba mmoja, mmoja anasema ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba, halafu yule mwenye udhaifu badala ya kukanusha udhaifu wake ndio kwanza anamtishia mwenzake kuwa atamkomesha, na huku baba amenyamaza kimya tuu, wa kuelewa tumeelewa!.

NB. Naomba msiniulize kilichojiri kwenye mahojiano yale, nawaombeni sana mniruhusu ni reserve my comments.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Huu uzi nimeuona mda mrefu lakini nikawa siufungui nilijua maudhui yake yatakuwa ya kuchefua kulingana na kichwa cha habari Ila kiukweli umenena vyema. Kilasiku toka saga hill namengine yatokeayo nakuwa najiuliza hivi Sikh hizi waendesha vipindi vya mahojiano ya live hawaoni kama kinakitu hapo Kuweza kuwaita wahusika na kuwafanyia mahojiano? Brother P omba kipindi kwenye moja TV station zetu uturudishie ile raha ya mahojiano hutakosa wazamini hawa watangazaji wàsikuhizi hawajui hata inshu hot nimwendo wa blablatuu hadi wanaboaa. Nakumbukaga ile inshu ya milioni 900 ilikuwa hot lakini mtumzima ulikomaa na wahusika hadi raha. Jamani amakweli ya kale ni dhahabuu. Please Pascal isaidieni hii jamii tunapoteaaa na tutapoteanaaa
 
Pascal Mayalla ifike mahali uone umuhimu wa kutupa japo summary tuu ya kilichojiri,hasa hoja za huyo mbunge kilaza.

Jf ni familia kwa baadhi yetu ,hivyo kupeana uzoefu wa hiyoo miito.je baada ya mahojiano kuna kuna hukumu yoyote uliyotoka juu yako?.au kukaa kimya juu ya kadhia hiyo nayo ni moja ya sharti/hukumu?.nzagamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu mbunge kilaza ni Goodluck Mlinga, ndio mbunge alietumika kupeleka hoja bungeni kuwa gazeti Raia Mwema kupitia Mwandishi wake Paschal Mayalla lemekashifu bunge kwa kuandika makala inayoongazwa na kichwa cha habari kinachosomeka

"Je Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa serikali?"

Pasco aliuza kama swali lakini huyo Mbunge kilaza,Spika na bunge lake wakatafsiri kama kauli rasmi, bila kujiuliza hiyo alama ya "?" Mwishoni.
 
Wasioelewa wajiitapo waelewa hatuelewi. Aliyetishwa akatishika hawezi/hathubutu kubandika bandiko andiko iko! Leo kaamua liwalo na liwe. Halitakuwa. Likiwa, lishindwe na kulegea! Hiyo sehemu tu aliyotoa kwa werevu yatosha kujua mrejesho. Bahati mbaya sana wewe hujaona ndani.

Pale mwisho PM anasema anatuomba tusimuulize kilichojiri kwenye mahojiano yale, anatuomba tumuache areserve comments zake, hajafunguka kwa hiyo kilichobaki kwenye public domain ni kuitwa kwake tu wala sio details za mahijiano yake, sasa wewe hapo unalipi la ziada?!
Msome tena ndio urudi, usiwe na upesi!
Mayala alitishiwa akatishika, akaufyata kama Dr Ulimboka. Period.
 
Huku ni sawa na masikio kuzidi kichwa!. Japo Spika amemuita CAG kwa mujibu wa mamlaka yake, lakini mkisikia mambo ya mihimili kujiinua kuvuka mipaka ya mamlaka yake ndiko huku, watu wote wenye kuheshimu katiba na sheria, watamshangaa sana CAG kama ataitika wito huu kwa kuogopa tishio la pingu. Sisi ambao ni washabiki wa kuheshimiwa kwa katiba na kutekelezwa kwa sheria, taratibu na kanuni, tunapenda kuona huu mtanzuko ukimalizika kwa kufunuliwa kwa sheria batili ya mamlaka ya Spika na katiba ikiheshimiwa.
I

Kama hujaitwa tena sijui???? Ila umeongea ukweli ambao hawapendi kuusikia hasa mheshimiwa spika ndugai.

Spika anajiona yeye ndiyo kila kitu, ubabe, majivuno, kiburi hajui kama madaraka yanamwisho wake, yana mwisho haya ngoja tuone.
 
Pole Mkuu nilijua pia ulidharauliwa sana kwa maswali yao yasio na kichwa wala miguu nimekuelewa ndio maisha hayo, yaache wala hata usiendelee kuyafikiri kuna baadhi ya watu hasa waliotoka kwenye familia masikini wakaja kupata kanafasi kitakachoendelea hapo ni kudharau kila mtu kumbe maisha hayapo hivyo kabisa mwingine ana pesa ya kutosha na hana vyeo wala dharau...
 
Hapa ninachokiona ni kwamba Ndgu Paskali utaitwa tena maana umetoa maneno ya kuudhi kama vile 'mbunge kilaza'

Halafu nayaona mengine hapo kama vile unasema Spika sijui nini!!!!!!

Jiandae
Wanabodi,

Japo CAG ameitwa na Spika kwa dharau kwa kutishiwa kuletwa kwa pingu, lakini nikilinganisha na mimi nilipoitwa na kamati hiyo, kiukweli kabisa CAG ameheshimiwa sana haswa kwa ile tuu kuitwa na kutajiwa tarehe ya wito.
My Story.

Tangu nilipoitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa kosa kama la CAG la kulidhalilisha Bunge, sijawahi kuleta mrejesho wa nini kilijiri katika mahojiano hayo, na huu sio mrejesho bali ni uzoefu tuu wa kulinganisha kuitwa kwangu na kuitwa kwa CAG.
Chanzo cha Mimi Kuitwa.

Mimi niliuliza tuu humu jf kama " Jee Bunge Linajipendekeza kwa serikali?..". Gazeti lika peak na kuiifanya ni headline story ila alama ya kuuliza ikiwemo.

Mhe. Mbunge mmoja kama vile ni kilaza fulani, akaibuka na gazeti bungeni, akaisoma headline as a statement bila kuweka alama ya kuuliza.

Ndipo Spika akalipokea.

Spika na Maneno Mbofumbofu!.
Hata mimi nilipoitwa, Spika alitamka maneno fulani ya hovyo hovyo kunihusu ambayo hayahusu, ila kwa vile mimi ni nobody, maneno ya hovyo hovyo ya Spika kwa someone who is nobody, didn't matter much, lakini kumuita GAG kwa maneno ya kumtishia kwa pingu, kiukweli kabisa, it was uncalled for. Bunge letu lisikubali udhaifu binafsi wa viongozi wa Bunge kulifanya Bunge lidharauliwe. Mhe Spika nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo anaweza kukosea kubinaadamu tuu, lakini tusikubali kuutetea udhaifu binafsi wa kibinadamu kwa kuuoanisha au kuuingiza kwenye uspika wa Bunge letu tukufu.

GAG Kapewa Muda wa Kutosha, Hii ni Heshima Kubwa.
Mimi nilipoitwa na Spika, alitangaza tuu Bungeni kuwa tutaitwa, lakini hakutangaza siku. Lakini kuitwa kwa CAG, tangu ile Press Conference, Spika ameitaja tarehe 21 Jan.

Barua Rasmi ya Wito.
Mimi tangu nilipotangwa kuitwa hadi kupewa barua, kilipita kipindi kirefu, lakini CAG kaitwa kwa kupangiwa tarehe tayari na baada ya siku 3, amepelekewa barua rasmi akiwa na siku zaidi ya 10 za kujiandaa kabla hiyo tarehe ya kuhojiwa.

Mimi niliitwa Ofisi ya ndogo ya Bunge na kukabidhiwa barua ya wito saa 9:00 mchana wa leo, kuifungua barua unatakiwa uwepo viwanja vya Bunge kesho yake asubuhi. Sasa mtu unajiuliza huu wito wa saa 9:00 mchana, kutakiwa Dodoma asubuhi ya siku inayofuata kwa usafiri gani wa public transport?!, unless kila anayeitwa kuhojiwa na kamati ya Bunge ana assume perliamentarian status anakuwa na shangingi, anajaza tuu mafuta na kuelekea Dodoma.

Thanks God, sisi wengine kwetu ni Gambosh, ile kufunga tuu macho, kufungua unajikuta uko Bungeni Dodoma tayari kuhojiwa, umekujaje, umetumia usafiri gani, only God knows!.

Hivyo kuitwa kwa CAG, wengi wanaona kama ameitwa kwa kudharauliwa kwa kutishiwa asipoitika wito, atapelekwa kwa pingu, mimi naamini mtu kama mimi niliyeletewa barua leo na kutakiwa kuripoti kesho yake ningeshindwa ndio pingu zingenihusu, lakini kwa mtu kama CAG kuitwa kwa kutishiwa pingu, is not right at all.

Justification ya Wito.
Mamlaka ya Spika kumsummon mtu yoyote mbele ya kamati kwa kulidharau Bunge yako kwenye sheria na kanuni na sio kwenye katiba. Kinga ya CAG kutokuhojiwa na yeyote zaidi ya Mahakama iko kwenye katiba na kwenye sheria. Inapotokea sheria yoyote ikakinzana na Katiba, Katiba ndio supremacy na sheria inayompa mamlaka Spika kumsummon mtu yoyote ni batili.Tangu lini sheria na kanuni tuu ikaizidi katiba?.

Huku ni sawa na masikio kuzidi kichwa!. Japo Spika amemuita CAG kwa mujibu wa mamlaka yake, lakini mkisikia mambo ya mihimili kujiinua kuvuka mipaka ya mamlaka yake ndiko huku, watu wote wenye kuheshimu katiba na sheria, watamshangaa sana CAG kama ataitika wito huu kwa kuogopa tishio la pingu. Sisi ambao ni washabiki wa kuheshimiwa kwa katiba na kutekelezwa kwa sheria, taratibu na kanuni, tunapenda kuona huu mtanzuko ukimalizika kwa kufunuliwa kwa sheria batili ya mamlaka ya Spika na katiba ikiheshimiwa.

Tunasubiri kwa hamu hiyo tarehe 21, ila kwa sisi waelewa, ukiona watoto wawili wa baba mmoja, mmoja anasema ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba, halafu yule mwenye udhaifu badala ya kukanusha udhaifu wake ndio kwanza anamtishia mwenzake kuwa atamkomesha, na huku baba amenyamaza kimya tuu, wa kuelewa tumeelewa!.

NB. Naomba msiniulize kilichojiri kwenye mahojiano yale, nawaombeni sana mniruhusu ni reserve my comments.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mlinga ni moja ya wabunge wa ajabu kuwahi kuwepo,hasa anapo ungana na yule mwezi wa mtela inakua shidaa
Kuhusu mbunge kilaza ni Goodluck Mlinga, ndio mbunge alietumika kupeleka hoja bungeni kuwa gazeti Raia Mwema kupitia Mwandishi wake Paschal Mayalla lemekashifu bunge kwa kuandika makala inayoongazwa na kichwa cha habari kinachosomeka

"Je Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa serikali?"

Pasco aliuza kama swali lakini huyo Mbunge kilaza,Spika na bunge lake wakatafsiri kama kauli rasmi, bila kujiuliza hiyo alama ya "?" Mwishoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia tu!!

"ila kwa sisi waelewa, ukiona watoto wawili wa baba mmoja, mmoja anasema ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba, halafu yule mwenye udhaifu badala ya kukanusha udhaifu wake ndio kwanza anamtishia mwenzake kuwa atamkomesha, na huku baba amenyamaza kimya tuu, wa kuelewa tumeelewa!."

Tumeelewa vyema tu kwamba hizi Hekaya za "Kazi" zina Baraka za Baba wa Jumba jeupe.

Wanabodi,

Japo CAG ameitwa na Spika kwa dharau kwa kutishiwa kuletwa kwa pingu, lakini nikilinganisha na mimi nilipoitwa na kamati hiyo, kiukweli kabisa CAG ameheshimiwa sana haswa kwa ile tuu kuitwa na kutajiwa tarehe ya wito.
My Story.

Tangu nilipoitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa kosa kama la CAG la kulidhalilisha Bunge, sijawahi kuleta mrejesho wa nini kilijiri katika mahojiano hayo, na huu sio mrejesho bali ni uzoefu tuu wa kulinganisha kuitwa kwangu na kuitwa kwa CAG.
Chanzo cha Mimi Kuitwa.

Mimi niliuliza tuu humu jf kama " Jee Bunge Linajipendekeza kwa serikali?..". Gazeti lika peak na kuiifanya ni headline story ila alama ya kuuliza ikiwemo.

Mhe. Mbunge mmoja kama vile ni kilaza fulani, akaibuka na gazeti bungeni, akaisoma headline as a statement bila kuweka alama ya kuuliza.

Ndipo Spika akalipokea.

Spika na Maneno Mbofumbofu!.
Hata mimi nilipoitwa, Spika alitamka maneno fulani ya hovyo hovyo kunihusu ambayo hayahusu, ila kwa vile mimi ni nobody, maneno ya hovyo hovyo ya Spika kwa someone who is nobody, didn't matter much, lakini kumuita GAG kwa maneno ya kumtishia kwa pingu, kiukweli kabisa, it was uncalled for. Bunge letu lisikubali udhaifu binafsi wa viongozi wa Bunge kulifanya Bunge lidharauliwe. Mhe Spika nae ni binadamu tuu kama sisi na sio malaika, hivyo anaweza kukosea kubinaadamu tuu, lakini tusikubali kuutetea udhaifu binafsi wa kibinadamu kwa kuuoanisha au kuuingiza kwenye uspika wa Bunge letu tukufu.

GAG Kapewa Muda wa Kutosha, Hii ni Heshima Kubwa.
Mimi nilipoitwa na Spika, alitangaza tuu Bungeni kuwa tutaitwa, lakini hakutangaza siku. Lakini kuitwa kwa CAG, tangu ile Press Conference, Spika ameitaja tarehe 21 Jan.

Barua Rasmi ya Wito.
Mimi tangu nilipotangwa kuitwa hadi kupewa barua, kilipita kipindi kirefu, lakini CAG kaitwa kwa kupangiwa tarehe tayari na baada ya siku 3, amepelekewa barua rasmi akiwa na siku zaidi ya 10 za kujiandaa kabla hiyo tarehe ya kuhojiwa.

Mimi niliitwa Ofisi ya ndogo ya Bunge na kukabidhiwa barua ya wito saa 9:00 mchana wa leo, kuifungua barua unatakiwa uwepo viwanja vya Bunge kesho yake asubuhi. Sasa mtu unajiuliza huu wito wa saa 9:00 mchana, kutakiwa Dodoma asubuhi ya siku inayofuata kwa usafiri gani wa public transport?!, unless kila anayeitwa kuhojiwa na kamati ya Bunge ana assume perliamentarian status anakuwa na shangingi, anajaza tuu mafuta na kuelekea Dodoma.

Thanks God, sisi wengine kwetu ni Gambosh, ile kufunga tuu macho, kufungua unajikuta uko Bungeni Dodoma tayari kuhojiwa, umekujaje, umetumia usafiri gani, only God knows!.

Hivyo kuitwa kwa CAG, wengi wanaona kama ameitwa kwa kudharauliwa kwa kutishiwa asipoitika wito, atapelekwa kwa pingu, mimi naamini mtu kama mimi niliyeletewa barua leo na kutakiwa kuripoti kesho yake ningeshindwa ndio pingu zingenihusu, lakini kwa mtu kama CAG kuitwa kwa kutishiwa pingu, is not right at all.

Justification ya Wito.
Mamlaka ya Spika kumsummon mtu yoyote mbele ya kamati kwa kulidharau Bunge yako kwenye sheria na kanuni na sio kwenye katiba. Kinga ya CAG kutokuhojiwa na yeyote zaidi ya Mahakama iko kwenye katiba na kwenye sheria. Inapotokea sheria yoyote ikakinzana na Katiba, Katiba ndio supremacy na sheria inayompa mamlaka Spika kumsummon mtu yoyote ni batili.Tangu lini sheria na kanuni tuu ikaizidi katiba?.

Huku ni sawa na masikio kuzidi kichwa!. Japo Spika amemuita CAG kwa mujibu wa mamlaka yake, lakini mkisikia mambo ya mihimili kujiinua kuvuka mipaka ya mamlaka yake ndiko huku, watu wote wenye kuheshimu katiba na sheria, watamshangaa sana CAG kama ataitika wito huu kwa kuogopa tishio la pingu. Sisi ambao ni washabiki wa kuheshimiwa kwa katiba na kutekelezwa kwa sheria, taratibu na kanuni, tunapenda kuona huu mtanzuko ukimalizika kwa kufunuliwa kwa sheria batili ya mamlaka ya Spika na katiba ikiheshimiwa.

Tunasubiri kwa hamu hiyo tarehe 21, ila kwa sisi waelewa, ukiona watoto wawili wa baba mmoja, mmoja anasema ukweli wa udhaifu wa mwenzake mbele ya baba, halafu yule mwenye udhaifu badala ya kukanusha udhaifu wake ndio kwanza anamtishia mwenzake kuwa atamkomesha, na huku baba amenyamaza kimya tuu, wa kuelewa tumeelewa!.

NB. Naomba msiniulize kilichojiri kwenye mahojiano yale, nawaombeni sana mniruhusu ni reserve my comments.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Bunge ni Dhaifu!!
 
Brother,tumekuelewa sana .
Siwajui waanfishi wengi sana nchini ila kwa nnaowajua ,you are The BEST.
Ubarikiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom