Aristidi selestin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 384
- 57
Ndoa zote znageuka kuwa ndoano
Unamaanisha nipige kimya? What if mke wangu akilijua hili kupitia watu wengine?
Unamaanisha nini kusema niachane na hiyo biashara ya kutaka mtoto wakati wazazi wake wapo hai! kumbuka i was blind till she come and confess on me she that the kid is mine. Nafahamu malezi yalivyo even though sina uzoefu sana wa kulea but nakuelewa. Ingekuwa ni mimi nimeenda kumdai that was another case lakini kaja mwenyewe anadai moyo unamuuma kuona anambambikia mumewe mtoto na si wake.Achana na hiyo biashara ya kutaka mtoto wakati wazazi wake wapo hai..kwanini hakukwambia wakati bado ni mimba changa unafikiri alikuwa hajui kama mimba si ya mmewe wa ndoa??? Aliogopa kuachika sasa kwanini anataka kusema sasa???.tena wametunza for 12 years...ungejua jinsi mtoto anavyosumbua toka utunzaji wa mimba mpaka anatimiza five years ungekaa mbali na hiyo issue maana huyo mme anaweza toa uhai wako....
Vitu kama hivyo huwa havisemwi.
Ili mradi wewe umeshajuwa imetosha.
................. ninayo mifano hai...........
I spoke to her this morning and asked the same question lakini anasema ameokoka si kwamba kamchoka mumewe ndio maana anahisi anaendelea kukaa katika kifungo cha dhambi ya uongo kwa mumewe anae mpenda kwa dhati.kweli unapiga kimya maisha yanakwenda.....huyu anapata pressure kwa vile kwa mkewe hakuna mtoto......najiuliza yule dada mwenye mtoto anataka nini wakati toka mwanzo alishindwa kumweleza mumewe mimba sio yake leo anataka kuharibu labda kashamchoka huyo mume anaamua liwalo na liwe.
I spoke to her this morning and asked the same question lakini anasema ameokoka si kwamba kamchoka mumewe ndio maana anahisi anaendelea kukaa katika kifungo cha dhambi ya uongo kwa mumewe anae mpenda kwa dhati.
Ni mimi nimekosea kusema au ni mzazi mwenzangu kakosea kuniambia!?
Ni kweli kabisa naweza kuwa mbea... but kwenye kizazi hiki social media ikitumika vizuri inaweza kuwa babu na bibi katika kupashana habari kupeana uzoefu na nk. Nadhani kuna ambayo siwezi kuyaleta hapa hasa ambayo ufumbuzi wake ninao au yanayo toa taswira ya kudhalilisha human dignity siwezi kamwe.Wewe ndio unaonekana mmbea kuja kusema huku mambo ambayo unajua fika ni ngumu kuyaleta,yaan mtu miaka 12 anyamaze kimya leo akwambie kuwa mtoto wako baas wewe huyoooo JF kutoa dukuduku? Jiangalie ndugu na tumia hekima,huyo mama inawezekana ana personal/marriage conflicts na mumewe ndio maana kaona ayaseme hayo au wewe hali ya kukosa mtoto inakuweka hatiani. Fikirieni yule baba mwingine mtaumiza hisia zake kiasi gani,halafu huyo mtoto usidhani ataku-feel they way you expect him/her to!!
BE WISE!
Huyo mama ana watoto wangapi hadi sasa? naamini mumewe anajua kuwa watoto walionao wote ni wake, na pia huwezi jua ni kwa kiasi gani huyo baba anampenda mwanae wa kwanza, pia huwezi kujua uchungu atakaopata huyo baba baada ya kuambiwa na kuthibitisha kuwa kweli huyo mtoto si wake. Kuna hatari kubwa ya ndoa ya huyo mama (x wako), mwambie x wako, ajaribu kusoma uelekeo wa upepo kwanza kwa huyo mumeo; Anaweza kufanya vitu kama;
- Kumpa stori inayofanana na hiyo halafu ktk maongezi baada ya stori hiyo akamuuliza kwa utani wenye ukweli ndani yake kama yangempata yeye angefanyaje?
- Au akatafuta namna ya kuuliza ktk hali ya furaha na kimatani hivi, ili tu aweze kusoma mood ya mumewe hata kabla ya kuamua kupasua hilo bomu.
Pia kumbuka huyo mama ndiye anajua ni kwa jinsi gani mumewe anaupendo juu ya wanawake na watoto kwa baba pia. Maana mtoto ameshajidhihilishia kuwa huyo ndiye baba yake na ukute anampenda sana sana, leo mumgeuzie kibao gafla.
Pia nashauri kama itaonekana upepo unaelekea pabaya, mwambie huyo x wako asiseme atulie tu, na msubiri tena labda mtoto akue zaidi na awe na akili ya kiutu uzima, halafu aambiwe hapo badae kiutuuzima zaidi. (japo inategemea na mtu), lakini mimi naamini akiwa mtu mzima mkamwambia kiutuuzima itakaa vizuri na akapewa ushauri zaidi, atajua kuhandle baba zao, na inaweza isimuathiri sana kisaikolojia.
Ni mimi nimekosea kusema au ni mzazi mwenzangu kakosea kuniambia!?
Sijui huyu mumewe atalichukuliaje swala hili lakini ninamashaka sana na usalama wa kila mmoja.
hekima inahitajika hapa kumbuka yule bwana hajui chochote na sio kosa lake couse hakuambiwa toka mwanzo sasa fikiria amelea mimb hadi mwana leo anaambiwa sio wake unategemea nini kitatokea hapo...........wazee wetu nina mifano mingi tu katika familia ya watoto 5 mmoja sio wa baba huyo baadae wanakuja fahamu lakini kwa busara wanachukulia poa lakini sio kwa kizazi hiki aise
Mkuu mimi nina wasi wasi isije ikatokea kama yaliyotokea juzi mabibo, ambapo mwanaume alimchinja mtoto baada mama kufumaniwa kisha kumweleza mmeww kwamba hata yule mtoto hakuwa wake!!!!
Ni kweli kabisa naweza kuwa mbea... but kwenye kizazi hiki social media ikitumika vizuri inaweza kuwa babu na bibi katika kupashana habari kupeana uzoefu na nk. Nadhani kuna ambayo siwezi kuyaleta hapa hasa ambayo ufumbuzi wake ninao au yanayo toa taswira ya kudhalilisha human dignity siwezi kamwe.
Kwa swala hili lililonikuta naweza kuwa nawagusa wengine ambao nao wangependa kujua maamuzi gani ni sahihi kuyafuata. Hata kama ushauri huu wa hapa ni pamoja na kuchanganya na akili zako. turudi kenye mada.
Hisia za mumewe nazijali lakini pia kwa umri wangu huu na sina mtoto na Mimi naona kama Mungu kanifungulia mlango na kuniondelea upweke nilionao wa kukosa mtoto sasa kaja lakini kwa njia ambayo ni ngumu sana kuitatua kwangu kwa sasa. conflict sijui sana kama zipo na kwa kiwango gani ila nilipo muuliza ndio kadai anataka kuivua dhambi ya uongo...hivi nikweli truth will set you free au kunabaadhi tu ya mambo!?