Uzoefu wa printer xerox

Uzoefu wa printer xerox

nesto lee 360

Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
19
Reaction score
19
habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Sifa iwe inaprint color na iwe ina print A3
 
ACHA KUJITAFUTIA USUMBUFU MBELENI,

NUNUA CANON IR 2206
UTULIE.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Ungesogea mpaka 2m ungechukua canon2425 brand new.imekaa njema.
Hizo xerox naona zimekuwa nyingi ila sijazijua kinda i
 
habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Ingelikuwa ni Epson ningekuelezea mwanzo mwisho ila hizo zingine sijawahi kuzitumia ingawa ni mzoefu kwenye hizo kazi kwa mda wa miaka 3
 
habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Sifa iwe inaprint color na iwe ina print A3
Achana na hayo makitu . Sijui Mazeroksi na maMinolta tafuta Canon IR 2206,2023 kuendelea hutajuta
 
habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M
Sifa iwe inaprint color na iwe ina print A3
nunua tu kama umeipenda haina tofauti na nyingine, karatasi ni zile zile za kawaida 80, 75 na 70 gsm.
 
Vip hauja ipenda, na unaitumia kuprint, nini, T-shert, pich, Cover za CD, au CD, mbona ni nzuri tu,
Hii naitimia kuprint Cd, Id, Picha ila kaz kubwa inatake time coz inaprint page moja kwa sekunde 14 approximation page 6 kwa dakka hiyo xerox nimeona kwa dakka naweza print page 25
 
Back
Top Bottom