Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Kama ni kweli bado unakaa kwa shemeji yako, amini kuwa ipo siku Mungu atakufungulia milango ya baraka brother.Hahahahhaa Boss .. Nisha Graduate kitambo sana ni vile life imenifikisha hapa nilipo sina choice