Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Jaman habari za leo,me naomba kujua uzito sahihi mtoto anaotakiwa kuwa nao according to umri.najua kuna factor kama urefu nk,in my case mwanangu wa miezi kumi na moja ana kg 8.4 is it ok?please wenye utaalamu wa watoto wanijuze,najitrahidi sana lakin sjui nakosea wapi,