Uzito wa watoto

Solarpanel

JF-Expert Member
Oct 9, 2012
235
38
Jaman habari za leo,me naomba kujua uzito sahihi mtoto anaotakiwa kuwa nao according to umri.najua kuna factor kama urefu nk,in my case mwanangu wa miezi kumi na moja ana kg 8.4 is it ok?please wenye utaalamu wa watoto wanijuze,najitrahidi sana lakin sjui nakosea wapi,
 
yes its very ok as long haumwi,kama she is health and strong,amechangamka na yupo normal then she is ok, uzito is not that much muhimu kama afya,watoto wengine ana kilo kumi na tano lakini afya mbovu,cha muhimu usiache kumnyonyesha na zingatia lishe,mimi mwanangu ana miezi sita na ana kilo sita sasa ikawa inanitia shaka nikampeleka kwa dokta specialist akaniambia mtoto yupo very ok i should not worry
 
Mtoto wako ni wa jinsia gani, na alizaliwa na uzito kiasi gani?
 
Ni vyema kushauriana kuhusu uzito hasa ukizingatia long term implication watoi wadogo tu nowadays wako diabetic ...hypertensive..an da like which have a direct corelation with body weight/length
Whats tha message we get here?
Ya baby mighty luk healthier for ya but paramedics says ya baby is illhealth...
It caries long term complication ruther than what we see at sport
For da betterment of ya health in da future.. make sure ya have a reasonable at least for kids use the RCH child clinic card make sure ya babys weight iko in da middle shade....ts not a rule of thumb..one mighty be slim low weight genetically
 
nakubaliana kabisa na wewe
 
yes its very ok as long haumwi,kama she is health and strong,amechangamka na yupo normal then she is ok, uzito is not that much muhimu kama afya,watoto wengine ana kilo kumi na tano lakini afya mbovu,cha muhimu usiache kumnyonyesha na zingatia lishe,mimi mwanangu ana miezi sita na ana kilo sita sasa ikawa inanitia shaka nikampeleka kwa dokta specialist akaniambia mtoto yupo very ok i should not worry

tx much kwa ushauri wako mzuri,ni mchangamfu sana,hatulii hata kidogo nashukuru pia hajaumwaumwa magonjwa yale ya kitoto,kuna muda hukataa msosi bt najitahidi mpk anakula,niliambiwa pia kuwa anatumia calories kwenye kucheza hivo hawez kuwa na uzito mkubwa so ni reasonable,kila la heri
 
Ni vyema kushauriana kuhusu uzito hasa ukizingatia long term implication watoi wadogo tu nowadays wako diabetic ...hypertensive..an da like which have a direct corelation with body weight/length
Whats tha message we get here?
Ya baby mighty luk healthier for ya but paramedics says ya baby is illhealth...
It caries long term complication ruther than what we see at sport
For da betterment of ya health in da future.. make sure ya have a reasonable at least for kids use the RCH child clinic card make sure ya babys weight iko in da middle shade....ts not a rule of thumb..one mighty be slim low weight genetically

tx much,kwa nilivokuelewa ni kuwa i shud make use of that clinic card ya watoto,surely i still take him to clinic and yupo katika ile green line meaning its jus ok,what wories me ni kuwa miez mingine haongezek au anaongezeka kidogo,ndio nikaomba ushauri jinsi a kudeal na watoto hivi au pale wanapokosa apetite
 
ni wa kiume,alizaliwa na kg 3.7 na kutokea hapo amekuwa akongezeka nusu kilo kila mwezi mpk hivi miez ya mwishoni ndipo alianza kuongeza 0.4,.3 au kubaki hapo hao,ushauri wako plz

Kutokana na upimaji wa siku hizi (kupimwa na nguo) inafanya kutopata uzito halisi wa mtoto, hii ni kwa sababu watoto wanapimwa na Nguo (nepi, socks, kofia, sweta, n.k).

Kwa kawaida uzito wa mtoto inatakiwa, tunategemea uongezeke mara mbili yaje afikishapo miezi 6, na kuwa mara tatu ya Uzito wa kuzaliwa. Hivyo basi kuongezeka kwa uzito kwa wastani au zaidi ya wastani (ukifuatisha kadi ya kliniki) si kubaya..baadhi ya mambo husababisha watoto kuwa wakubwa kupita kiasi baadhi ni Kuwepo kwa watoto hao katika ukoo (bila shida yeyote/Normal variant), Kisukari, n.k. Lakini hadi kufikia hitimisho la ugonjwa wowote lazima uzito HALISI ujulikane.
 
Back
Top Bottom