kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
UZINZI NDANI YA MAGARI
KUFUATIA vitendo vya usaliti wa ndoa, uasherati, ufuska na ukiukwaji wa maadili ya Kitanzania kwa wanandoa, Operesheni Fichua Maovu kwa kuzunguka jijini Dar usiku wa manane na kunasa matukio ya watu wakifanya uzinzi ndani ya magari.
WAMO WASANII
===
===
Mbali na waume na wake za watu, wengine wanaotajwa kufanya vitendo vya ngono ndani ya magari ni mastaa wakubwa ambao wanaogopa kwenda kukodi vyumba mahotelini na gesti wakihofia watajulikana kutokana na umaarufu wao.
CHANZO - bofya: UZINZI NDANI YA GARI - Global Publishers