Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi utaleta maendeleo

Maendeleo yataletwa na:

1. Elimu nzuri itakayowafanya watanzania wajue raslimali tulizonazo na njia ya kubadilisha raslimali hizo ziweze kutoa ajira, na kuleta mapato- "changing the potentials into tangible assets"
2. Kuacha tabia za udokozi au wizi
3. Kuacha uvivu na kujituma kwa kila tufanyacho
4. Kuwa na national pride
5. Kuwa exposed na kujua dunia inataka nini
6. Anuani za makazi ni kitu kitakachosaidia kuharakisha maendeleo ikiwa yote hapo juu yatafanyiwa kazi barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…