Hii definision ya viwanda nadhani haitambuliki kwa walio wengi. Tumuombe rais Magufuli atupe maana ya neno viwanda alikuwa anamaanisha nini!! Cherehani 4 haziwezi kuwa kiwanda
Au tunachukulia maana ya mashine kuwa ni kitu chochote kinachoweza kurahisha kazi? Hata kisu tukiite ni mashine? Wataalamu wa tasnia hii tunaomba mtupe maana halisi ya neno kiwanda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.