Uzinduzi wa kitabu cha mambo ya biashara,na semina ya achievers club pale holiday inn hotel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa kitabu cha mambo ya biashara,na semina ya achievers club pale holiday inn hotel

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Deogratius kilawe, Jul 3, 2012.

?

NINI MUHIMU KATIKA KUANZISHA NA KUFANIKISHA BIASHARA?

Poll closed Oct 1, 2012.
 1. MTAJI FEDHA

  0 vote(s)
  0.0%
 2. UONGOZI MZURI

  100.0%
 3. TIMU KAZI

  0 vote(s)
  0.0%
 4. WAFANYAKAZI

  0 vote(s)
  0.0%
 1. D

  Deogratius kilawe Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari!
  Achievers club Tanzania inaleta kwenu uzinduzi wa kitabu cha mambo ya ujasiriamali kilichoandikwa na Mr Deogratius Kilawe(President wa achievers club Tanzania) julai pale Holiday INN Hotel dsm,Kuanzia saa nane mchana mpaka saa 1 usiku,Mgeni rasmi ni Balozi Dismass Nguma, na Pia tunatarajia kuwepo na Dr Mary Nagu.Kama ungependa kuhudhuria uzinduzi na semina pale Holiday INN wasilaiana nami sasa ili nikuweke kwa listi ,ni Tsh 10000 kwa semina mpaka mwisho,Pia kama ungependa kuhudhuria session ya uzinduzi wa kitabu tu Ni bure lakini unatkiwa uwe umenunua au ununua kitabu ambacho ni Tsh 6000,Faida ya kuhudhuria uzinduzi wa kitabu na semina ya fursa za biashara zilizopo Tanzania kukutana na wafanyabiashara mbalimbali Tanzania na kutengeneza wigo wako wa masoko,Kupata fursa ya kujiunga na achievers club na kuwa kwenye jumuia ya wafanyabiashara ambapo lengo kubwa la achievers club ni kuunganisha wafanyabiashara na kuchuma fursa za Tanzania.
  .Please confirm now 0717109362.
  http://TANZANIAACHIEVERS.BLOGSPOT.COM
   
Loading...