chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
Inabidi zichanganywe za mwaka juzi na juzi na juzi na jana ndo watoe picha sasaYani hapa ndipo ninapokikubali Chama changu. Tukio linatokea wakati huo huo mnapata picha kwa waliombali. Ngoja muone Uzinduzi wa Magamba. Uzinduzi leo, Picha wiki Ijayo! Big up Crashwise
Crashwise endelea kutupia mawe mkuu nakuamini sijui ni studio namba ngapi ya JF.
Hijabu na vibaraghashia havipo kabisa Arumeru.Magamba watakufa!
mkuu wangu tulia tumejipanga ndiyo maana ukita sauti,video,txt aupicha unapata.......
nchii hii ina wanafiki wengi sana wewe mkuu ni mmojawapoHawa Wananchi sio wakusombwa na Malori na kuja kutelekezwa baada ya mkutano kama wanavyofanya Magamba. hao wamekuja wenyewe hawakufuata pilau au mziki na wala hakuna malori yaliowasomba na kuwalazimisha kuacha kazi zao
Safari hii mnawaleta orijino komedi au komba atakuwepo peke yake? mleteni Michael Jackson..lakini bado mahudhurio no!!!!Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
Chadema haina utaratibu wa kubeba watu wala kuwa pikia chakula na wala huwa hatuna fiesta...ukiona watu hao ujue wamekuja kusikiliza sera siyo kuangalia ze komediMasikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
Unatamani Mods aziondoe hizo pics... Inakuuma eeh!!???Duh kweli wajinga wali wao,wapiga kura hapo ni chini ya asilimia 30. Na igunga ilikuwa hivi hivi