Uzinduzi wa chadema katika picha

Uzinduzi wa chadema katika picha

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
IMG_5170.JPG
IMG_5157.JPG

IMG_5154.JPG IMG_5165.JPG
IMG_5169.JPG
Picha za leo
 
Hakika kwa pamoja tutashinda vita hi dhidi ya chama cha wachumia tumbo CCM.
 
Yani hapa ndipo ninapokikubali Chama changu. Tukio linatokea wakati huo huo mnapata picha kwa waliombali. Ngoja muone Uzinduzi wa Magamba. Uzinduzi leo, Picha wiki Ijayo! Big up Crashwise
 
Tatizo ni mtandao,mkuu ataweka picha mtandao ukiwa sawia.
 
Alafu mkiangalia picha vizuri, yani hapo wote ni wapiga kura. Pia hakuna aliyepewa Kofia wala Kanga! Na wote wamekuja kwa miguu yao! Hakuna malori hapa!
 
Yani hapa ndipo ninapokikubali Chama changu. Tukio linatokea wakati huo huo mnapata picha kwa waliombali. Ngoja muone Uzinduzi wa Magamba. Uzinduzi leo, Picha wiki Ijayo! Big up Crashwise

Duh kweli wajinga wali wao,wapiga kura hapo ni chini ya asilimia 30. Na igunga ilikuwa hivi hivi
 
Hijabu na vibaraghashia havipo kabisa Arumeru.Magamba watakufa!
 
Crashwise endelea kutupia mawe mkuu nakuamini sijui ni studio namba ngapi ya JF.
 
Crashwise tuonane npo hapa,mkutanoni namsikiliza mbowe kw umakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom