chotibalula
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 206
- 110
CjakuelWatoto wa pili kama no msichana huwa no mzr ikiwezekana kuliko wote na kama ni mvulana huwa no handsome hasa akifuata msichana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa pili kama no msichana huwa no mzr ikiwezekana kuliko wote na kama ni mvulana huwa no handsome hasa akifuata msichana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wang cjakuelewaWatoto wa pili kama no msichana huwa no mzr ikiwezekana kuliko wote na kama ni mvulana huwa no handsome hasa akifuata msichana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upuuzi umezidi humu, shule zimefungwa ndio shida yake, subiri umalize kula kwa kengere utajua kama kuna mtiririko wa 1st, 2nd, 3rd...9th bornie
Hivi ni second au first ?Second born alaf ndo mbeba majukumu ya familia(kichwa cha familia kama wasemavyo wao)
Na sisi Last born??
Kama first born ni Gaidi au Kahaba ndo kabisa utakuwa unacopy na kupesti anachokifanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisi Last born??
Masecond born hatuna stress....kazi kujikalia sebuleni na kusikiliza first born na last born wanavyorushiana maneno....
Huku tunajismea mioyoni heehehe...hawa hawakumbwa na corona.
Ntamwambia Mama anitafutie mi nmechoka
Nimesema mara nyingi watoto wa pili .Akiwa msichana huwa ni mzr kuliko wa Kwanza pengine wote.na kama ni mvulani huwa ni handsome hasa akitanguliwa na msichana.Mzee wang kama
Cjakuel
Mzee wang cjakuelewa