Uzi wa Wazee waliowahi 'kugegeda' bikira

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Wale wazee ambao tuliwahi kugegeda bikira.

Changamoto gani zilikupata maana hawa mabinti wanakuwa kama kambale ni kuponyoka tu.

Ushatoa ngapi? Mwisho lini?

Je, unatamani kutoa tena au hutamani tena ila ukikuta unapita nayo?
 
Hahahahaha hapa utaona kua watu wamekula wakashiba xaxa wako Bar wanakula Mvinyo na Divai
Mleta madaada Chiiiiiiiiii
 
Moja tu. Na ndo niliyenae mpaka leo. Tulikuwa tunapendana sana lakini kila nilipokuwa nagusia suala la kufanya mapenzi mimi na yeye alikuwa akikasirika na muda mwingine kunitenga kabisa.

Nilidumu nae kwa muda wa miezi nane bila kufanya nae mapenzi. Na hii ni kwasababu nilimpenda sana na ndo mana niliweza kumvumilia kwa muda wote huo.

Krismas ya mwaka 2016 sitaisahau maana mtoto alijichanganya kwa kujileta mwenyewe kikaangono. Kwa muda wote niliokuwa nae kabla kwenye mahusiano sikuwahi kujua kama alikuwa bikra mpaka siku hiyo ndo nilijionea mwenyewe.
 
Moja tu. Na ndo niliyenae mpaka leo. Tulikuwa yynapendana sana lakini kila nilipokuwa nagusia suala la kufanya mapenzi mimi na yeye alikuwa akikasirika na muda mwingine kunitenga kabisa. Nilidumu nae kwa mda wa miezi nane bila kufanya nae mapenzi. Na hii ni kwasababu nilimpenda sana na ndo mana niliweza kumvumilia kwa muda wote huo. Xmas ya mwaka 2016 sitaisahau maana mtoto alijichanganya kwa kujileta mwenyewe kikaangono. Kwa muda wote niliokuwa nae kabla kwenye mahusiano sikuwahi kujua kama alikuwa bikra mpaka siku hiyo ndo nilijionea mwenyewe.
mzee uko vizuri, alafu hukumtema
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom