Uzi wa vyakula tu

Nitakuja aiaehhhh nataka nikija zenji unipeleke nikale urojoooo hahahahaha na pweza, nasiki pweza ni wazuri sana kwa mambo yale makubwa makubwa

alaa!!! mie sijui mkuu. inawezekana lkn mana hio ni sifa moja wapo ya seafood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…