Mambo ya uparen hayo
Nasikia kaburini vipo pia
Ndio maana sipend kufa,maana vitu kama hivi ntavimiss!!
Petrol kitakuwa naarufu nzuri
Endelea kusikiaNasikia kaburini vipo pia
Hahahahah nakaribia.. Thanks
Happy mapinduzi day
Duh pole sana
Mambo yalivyokuwa sikukuu zilizopita mpaka niliji chop kidole