ni nini hizi nzuri nzuri??
Mue mnatoa location
What is late lunch??Late LunchView attachment 1610604
Dah! We mdada utakuwa kibonge bila shaka 🙂View attachment 1610858
Boga la grill na prawns wa grill
Swali gumu! Mlo unaoliwa nje ya muda wa chakula cha mchana,What is late lunch??
recipes pls
Dah! We mdada utakuwa kibonge bila shaka
Ni wapi hapo?Vyakula vyako tu
Pale nimetoka Arusha
Aise! 😄Nina kg62 tumimi ni Mpishi Mzuri ila sio mlaji familia yangu ndio inafurahia