Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,988
Ukiingia kwenye huu uzi utaamini bado tz kuambiwa tupo uchumi wa kati tumeonewa sana!
aiseeUkiona hivyo ujue hatuna cha kupika
hiyo mishikaki ya kuku imenikumbusha Moshi kuna sehemu inaitwa Sinza/Masikio
zimefika mkuuMwambie mama yeye ni kiboko
mkuu inaonkana ulikuwa waipenda kinoma
Mwambie mama yeye ni fundi, namsalimia sanakwa mama..Cha mchanaView attachment 1550609
Bakisha kidogo
ucjal mkuu zitafikaMwambie mama yeye ni fundi, namsalimia sana
Dah mimi nilikuwa na 110 sasa natafuta 90