Mtaniua shekhe
Hata ukielekezwa kwa maandishi hutaelewa vzuri..fanya kuingia youtobe utaona kila hatuaEbn umenikumbusha kalmati asee...
Fanya mpango unipe darasa nami niwe naandaa kitafunwa hiki....
Hata ukielekezwa kwa maandishi hutaelewa vzuri..fanya kuingia youtobe utaona kila hatua
Inauma but Inabidi uzoee tuu mamii 😂
Una mahaba na mlenda