Huo uji uji wa kijani achia wanawake plsNatural foodView attachment 1478411
Ila mkuu unafanya na mazoez lakin? Maana menu zako sio ktoto
Mjomba iddi hii menu unashiba kweli!?
Shangazi hiki ndo cha jion nn
Nashiba kabisaa kamandaMjomba iddi hii menu unashiba kweli!?
Dah bas tupo tofaut, me hapo sielew kitu labda ntembee na round 3 ndo kdooogo afazali!Nashiba kabisaa kamanda
Nami naambiwa yupo pale jirani, ingawa sijawahi kufika pia sababu naonaga kama pmenikakia kushoto kimtindo...
Hapa sasa
He
Vipi mgonjwa unaendeleaje? Mi ndio nimeshamaliza dozi hapa
Naendelea vizuriVipi mgonjwa unaendeleaje? Mi ndio nimeshamaliza dozi hapa
ᵃʳᵉᵉᵐ
HapanaShangazi hiki ndo cha jion nn
Mlenda.Natural foodView attachment 1478411