Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Uzi mzima umeujaza wewe kwa vyakulaJamani
hahhaa hongeta
Umeona unavyonisingiziaUzi mzima umeujaza wewe kwa vyakula
Hmm sawaUmeona unavyonisingizia
Nimejaza mlenda na ubwabwa wa hostel..
Wewe ndiye unaupendezesha huu uzi Sasa
Rafiki ile bia yako pendwa ya lite huwa unapenda kutafunia na chakula gani?hahhaa hongeta
hizo mboga zote ungechanganya tu iwe moja
Kuna Watu wakiingia humu hadi mtu unafurahi..Hmm sawa
Kuku mkavuRafiki ile bia yako pendwa ya lite huwa unapenda kutafunia na chakula gani?
Asante ,next season itakuwa hivyohahhaa hongeta
hizo mboga zote ungechanganya tu iwe moja
itapunguza na Idadi ya vyombo...Asante ,next season itakuwa hivyo
Aww!Evening tea View attachment 1476464
Yap ni kweli,hapa imebidi nimpe jirani anisaidie kuoshaitapunguza na Idadi ya vyombo...
nasikia wanaume mnaogopa kupika sababu ya kuosha vyombo
Evening tea View attachment 1476464
Ma mtumishi,utashiba kweli..?
We acha tuMa mtumishi,utashiba kweli..?
hapo ushamiss ugali mlenda mara juis yako ya parachichi
Hizi zinaonekana tamu.