Hivi hizi si ndiyo ndefu sana. Unakula hadi zinakaba kwenye koo. Zinavutia kweli.
Ngoja na mimi nikudownlodie Lunch
Nimependa upande wa kulia... Huko kushoto ni tuamaini au?
Nipate na fanta orange
Nyingine zinafika tumboni nyingine zipo mdomoni badoo
Chizi kweli wwe.... Unazivuta ssssss au kutumia vijiko vya kichina..
Siku hizi zipo kama juice colaNipate na fanta orange
Nilihisi ni mdomo wangu.Siku hizi zipo kama juice cola
Nyingine zinafika tumboni nyingine zipo mdomoni badoo
Damn..wali umepembuka huu
Mengi kafa na kiwanda chake.Nilihisi ni mdomo wangu.
Ni kweli nilikunywa zipo kama maji.
Hapana Darmian siyo mkono wangu.Damn..wali umepembuka huu
Huu ni mkono wako??
Uchakachuaji umezidiNilihisi ni mdomo wangu.
Ni kweli nilikunywa zipo kama maji.