dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
.Heri ya siku ya wapendanao♡♡
#Mweziwamapendo ♡♡
View attachment 1021946
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wanajua kupika chapat hatari
angalau tugawane maumivu kidogo maana juzi mlijua kutudhihaki
Be Humble is free of charge
Chapati zina mvuto hizo,zinahamasisha.
KaribuNice one..
United Fan
Wtf...
Naona kiswahili hujaelewaWtf...
Umepikaje sasa??..na ushakula au hadi baadae night??Naona kiswahili hujaelewa
I cooked it myself!
3x² + 5 + 4x³ - x² + 2x³ + 9
Baadae mkuu, ni mwendo wa kujipakulia tuUmepikaje sasa??..na ushakula au hadi baadae night??
Sawa bwana mkubwa...Baadae mkuu, ni mwendo wa kujipakulia tu
3x² + 5 + 4x³ - x² + 2x³ + 9
Aww! Thanks Mjr