Ha ha ha ha ha ha ha watu na maisha yao mkuuHii si mboga mkuu? Yaani unakula mboga kwa mboga
Nimeipenda basmatLeo nimepika kitu Basmat
Msosi simple, na mchuzi wa samaki
Bila lukoko mambo teerongeka thela
Safiii unajipongeza mkuu
Tuko kazini bado!!
Tuko kazini bado!!
Sio bakuli. Ni kikombe cha maziwa freshKwenye bakuli ni nini babu..
Sio bakuli. Ni kikombe cha maziwa fresh