Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Leo hii
Nenda kwenye uzi wa walevi kule
Hata kama ila ushakunywa
Mie sio mlev bana naonja tu kidogo
Ndio. Mbili tu zinatoshaHata kama ila ushakunywa
Nipo sana kuna ujumbe unaupotezea tuMie mzima za kutokomea kusikojulikana
Ujumbe upi tena hebu nikumbusheNipo sana kuna ujumbe unaupotezea tu
Nije kukaa hapo?Nimefuta yote.. Nimebakisha hiiView attachment 952608
Hahahaa ninmeliona mkuuumeliona wingu kwa chini? Naelea bila chopa
Mbona hujavunja mifupa
Kule ni kwa walevi sasa mi sio mleviHii ni ya kule kwa walipa kodi ngoja niipeleke
Karibu uonjeDah... Haya...!