Mapishi ni kama kisu, kadri unavyokinoa na kukitumia ndo kinaongezeka makali. Usipokitumia kinakuwa butu.
Kadri unavyopika kila leo ndo maujuzi bin maujanja yanaongezeka yaani unafuzu kitivo cha kushindilia kitovu...ππ
Shurti makee ndani/juu ya kisosi ππππ