Siku hizi unalala na kuamkia humu kwenye misosi tu
Tunakula Samaki tupu
Haya karibu sana tupate lunch keshoJina hilo hapo lipo wazi
Na kule kwenye mitungi
Hakuna aliewahi kuishinda mitungi sana sana mitungi inaweza kukutoa rohoItaisha yenyewe kabla haijanimaliza
Nikija tena maana nimeshasepa tayari.Haya karibu sana tupate lunch kesho
Samaki tu mkubwa, sana unashiba na kusazaTunakula Samaki tupu
Maashallah msosi umedamshii ile mbaya
Wali maharagwe na hizo bakuli huwa zinafaa sanaWali ndondoView attachment 859922