MaziwaSamahani, inatengenezwaje?
KIjana amefanikiwa kwenye kila kitu lakini kakukosa ww tuMi ni mtawa 🧕🏾
Unakula breakfast kama ya ikulu?
Yes mkuu, supu ya kuku wa chotara, chapai (chapati nimenunua) na chai ya miloHome made?
Mkuu siku moja moja sio mbayaUnakula breakfast kama ya ikulu?
Nakushangaa sana kijana unaishi kwako na unatembelea premio safiii ila hutaki kuoa vitu vizuri hivii
Karibu Tena Kuna kachumbari pembeniKachoriii
oyaa
Njema kiongoziChief heshima yako
Powa mmesharudi kutoka kikaoni dodoma?Njema kiongozi
Kuna vitu tu mtu huwezi kumaliza, hamu imeisha🤷♂️.2nd session … zile chips nilishindwa kumaliza 🙃
View attachment 2563857
Duuuh jamaa wali mkavu na nyama kavu vinapitaje shingoni au kuna mchuzi umeuficha?