babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,967
- 20,298
Buku jeroπππZege heavy la mkoani kama huwezi kula wallahi unaliacha,View attachment 2326740
YaaahBuku jero
View attachment 2327549
Ukichoka wali maharage
Ewaaa nishapata menu ya usiku nikitoka kibaruani napita sokoni aseeπππ
connection mkuu wapi hii?Imagine eti apo ni 1kroadtrips raha sana.View attachment 2327546
Njoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezekiconnection mkuu wapi hii?
Hili chimbo ntalitafuta mwezi ujao nipo IfakaraNjoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki. Uku mdudukilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Njoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki. Uku mdudukilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Zipo ukifika ifakara chukua gari zinaenda sehem inaitwa mlimba then utashukia mbingu ukifika tafuta lodge moja inaitwa BIRO hapo ni 10k per night napia iyo iyo road unayopita inatoboa hadi iringa.Kuna public transport na lodge? Natafuta pa kwenda weekend hii
Ntaondoka kesho jioniZipo ukifika ifakara chukua gari zinaenda sehem inaitwa mlimba then utashukia mbingu ukifika tafuta lodge moja inaitwa BIRO hapo ni 10k per night napia iyo iyo road unayopita inatoboa hadi iringa.
Hapo mbingu kunakuwaga na ndizi sana hapoNjoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki. Uku mdudukilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Ndizi 500 mkuu zinakaa 7Hapo mbingu kunakuwaga na ndizi sana hapo
Sawa mkuuu enjoyNtaondoka kesho jioni
Nitoboe mpaka Iringa