Uzi wa vyakula tu


Ulizidisha moto???

Ni ngumu kukadiria moto wa chini..ila wa juu ni rahisi maana unachungulia tu,na una adjust upendavyo.
Nahisi nilizidisha moto wa chini. Maana ilitoka chini imeungua kama mkaa 🤣. Ila juu Sasa nzurii. Hadi birthday ya mwanangu ikaharibika, Kwa kujifanya ujuaji. Ningeenda nunua hata yasingenitokea 😅🙆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…