Naked Security
JF-Expert Member
- Jan 25, 2018
- 207
- 151
Ndio ubwabwa huoHiyo sahani hapo..huo ni ubwabwa?
Hahahahaha unajifanya hujui ubweche
Vitumbua sivipendiii
Glory glory glory...
Mgodini sasa hivi ugali tena tumechelewa.....Ugali saizi
Mkuu wewe mashine kubwa. Nakutunuku nyota 5Mkuu achaxutani bana, vitumbua 20 ndio unaonda vingi? Hapa tayari nishavimaliza, nikagonga na yai nimeshushia na maji ya bariiiidi, hapa nilipo sahv nimekunja 4
Hivi mpenzi wangu karrythas bado kachukuliwa na lile jamaa tu?!
una maneno wew...... Mc u
hapana......
Njoo wew..... Usisahau juice baridiNjoo pm nisikie japo sauti yako
Coca ni sumu......
Coca ni sumu......
Coca 1 tuu chaliHahahahahaha ukinywa lita elf ngap unakufa?!
Coca 1 tuu chali