Dah asee msiwe mnabadili ID bana mnatuchanganya wadau 😂😂Hapo kwenye bold ndio mimi huyo chief!
Thank you, and karibu nilikubakizia😜Very delicious 😋
Wow, ungechanganya humo? Mimi niliongezea parachichi, nimenjoy mnooVitu vyangu hivi navimis kweli,hapo ningeongezea na maharagwe kidogo
Sasa nilikuwa nisemejee?Dah,hizi lugha hizi!eti muhogo wa nyama
Ningechanganya humohumo na nyanya chungu kidogo OMG its amazingWow, ungechanganya humo? Mimi niliongezea parachichi, nimenjoy mnoo
Hivi kisamvu na pilau huwa vinanoga?