Uzi wa picha za models wanaovaa hijabu

Uzi wa picha za models wanaovaa hijabu

Hawa model naona kama wote ni wanawake wa kisomali,matatizo ya wanawake wa kisomali miguu yao ni mimbamba sana,miguu na mikono imefanana..
Kweli kabisa wengi niwasomali na wanadini sana ila wameishia kufanya modeling kiubishi ubishi na vilemba vyao na wanapendeza tyuuu

Kwenye suala la miguuu mbona kawaida ,mwenyewe wembambaaa miguu minene wataitoa wapi

Ila haifanani na mikono jaman[emoji23][emoji23]
 
Dini haimkatazi mwanamke kuwa modeli...hawa wanawake wa kisomali kufanya umodeli hawajanza leo wala jana si unamkumbuka yule "super model" Iman,...kwahiyo hawa wanawake hawajabahatisha wala hawakufanya kiubishi ubishi...

Wanawake wa kisomali sura zao ziko poa,wako "photogenic" ,..Sema miguu ndio inabidi isionyeshwe kwenye picha watakimbiza wateja..😀
 
Back
Top Bottom