Uzi wa picha za models wanaovaa hijabu

Uzi wa picha za models wanaovaa hijabu

Amena khan's
_20180328_124755.jpg
_20180328_124820.jpg
_20180328_124910.jpg
_20180328_124832.jpg
_20180328_124928.jpg
 
Hayo juu kwa hao model zako ni vilemba sio hijab. Hijabu inakuwa na stara ya mwili mzima ikienda SAMBAMBA na jilbab. Hayo waliovaa hao unaowaita wewe mamodel wamevaa shungi au malemba
 
Hayo juu kwa hao model zako ni vilemba sio hijab. Hijabu inakuwa na stara ya mwili mzima ikienda SAMBAMBA na jilbab. Hayo waliovaa hao unaowaita wewe mamodel wamevaa shungi au malemba
Nafahamu ivo walivyovaa ni vitaa ila wao mwenyewe wanaviita hijabu ndomaana nimeandika hivyo.
_20180328_135159.jpg
 
Mfollow instagram huyu bidada irada_mahadhi I love her fashion sense.... classic. Ananivutia sana
 
Back
Top Bottom