Asante Sana Ngoja Nitume Maombi AseeeTAREHE: 27Septemba 2026
YAHUSU: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – PASSENGER SERVICE OFFICER (PSO) - 160
Ofisi ya Rasilimali Watu inapenda kuwatangazia wafanyakazi wote fursa za ajira mpya za Passenger Service Officer - PSO (160).
Mambo Muhimu ya Kuzingatia:
1. Sifa za Elimu:Kuanzia Kidato cha Nne, Kidato cha Sita, Stashahada, Shahada ya Kwanza hadi Shahada ya Uzamili.
2. Jinsi ya Kuomba:Maombi yote yanapaswa kuwasilishwa kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Careers - Mofat Transport and Logistics.
3. Mwisho wa Maombi (Deadline):Tarehe 05 Oktoba 2026Maombi yatakayochelewa hayatapokelewa.
Ofisi ya Rasilimali Watu
Mofat Company Ltd
Wewe ni wa kiume au wa kike hili neno umelirudia sana
Mwanaume una mikono milainiiMKuu usemalo lipo ila mm ili nisijinyongee na nisiwazee sana naamua kupoza mawazo na mmea aiseee.
Kichwa isije lipukaa maana hali c poa View attachment 3679862
wanaume tunamengi sana tunapitia unaweza kuvaa viatu vyang ukashidwa kutembeaMwanaume una mikono milainii
Sasa ujutane na sie akina Clara luvanga
Pole.fanya juhudi utayavukawanaume tunamengi sana tunapitia unaweza kuvaa viatu vyang ukashidwa kutembea
HAhahhaha au cyoMwanaume una mikono milainii
Sasa ukutane na sie akina Clara luvanga😒😒
Mungu wa huruma, Mungu wa Baraka na Neema, ahuishe nafsi na mioyo iliyopondeka na kukata tamaa ya wadau wote wa JF, na kuifanya upya ili spidi na kasi ya kuyafikia malengo na ndoto za maisha yao humu duniani iwe ya viwango vya kiMungu.USIKU HUU NIMEKAA KIMYA, LAKINI NDANI NINA KELELE NYINGI SANA.
Sina mzuka wa kitu chochote leo. Hata jambo la kawaida kabisa kama kupata chakula cha usiku limekuwa jambo kubwa kwangu. Nimekaa tu nikitazama maisha, nikijiuliza nimefika hapa kwa sababu gani na kesho nitainukaje.
Kuna muda mtu anachoka kuelezea matatizo yake. Unaamua kukaa kimya, lakini mawazo ndiyo yanazidi kupiga kelele. Unawaza familia, maisha, pesa, kesho, makosa uliyowahi kufanya na mambo ambayo ungependa kuyabadilisha lakini huna uwezo nayo kwa sasa.
Watu wakikuona unaweza kuonekana uko sawa, lakini ndani unakuwa unapambana vita ambavyo hakuna anayeviona.
Usiku kama huu ndipo mawazo yanakuwa mengi zaidi. Unajiuliza, “Nitaendelea hivi mpaka lini?” Unataka kubadilika, unataka kusimama, unataka kuwa mtu mwingine kabisa… lakini mazingira yanakukumbusha kila dakika kwamba bado hujafika unapotaka kufika.
Sina ombi kubwa leo. Nimeamua tu kusema ukweli wangu kama ulivyo. Kama unapitia kipindi kama hiki, ujue hauko peke yako.
Mungu atupe nguvu ya kuvuka haya tunayopitia. 🤲🏾
Leo ni usiku mgumu, lakini bado naamini kesho inaweza kuwa tofauti.
Amen 🙏🤟Mungu wa huruma, Mungu wa Baraka na Neema, ahuishe nafsi na mioyo iliyopondeka na kukata tamaa ya wadau wote wa JF, na kuifanya upya ili spidi na kasi ya kuyafikia malengo na ndoto za maisha yao humu duniani iwe ya viwango vya kiMungu.
Mwenyezi Mungu atujaalie moyo wa kutokata tamaa, na kugeuza changamoto tunazopitia maishani, kua fursa muhimu, katika kujisahihisha na kua makini zaidi, katika harakati za kuyafikia malengo na ndoto zetu za maisha tulizochelewa kuzifikia.
Kwa jina la Baba, la Mwana na Roho Mtakatifu,
Aimen 🙏