Uzi wa matukio baada ya Kunywa Pombe

Uzi wa matukio baada ya Kunywa Pombe

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,164
Reaction score
43,860
Uzi huu ni kwa ajili ya wale waliopiga gambe na kujikuta wanafanya mambo ya ajabu na kesho ulipoambiwa Ulibisha kweli.. Nilipiga gambe enzi nipo chuo sasa bhana nikataka kuondoka na Malaya flani wenzangu wakawa wananikatalia ikabdi wanifunge kamba wanipeleke mpaka Hostel kufika hostel unaambiwa nikakojoa kwenye korido na kutapika balaaa.. Kiukweli kesho yake nikasema sitalewa mpaka nipoteze network kabisa milele yote..

Tukio gani ulifanya la ajabu siku ulipopiga tungi ya maana??
 
Kazi ya tupicha picha twa pombe niachieni Mimi kwa sababu naishi nazo kila dakika
IMG_20190603_094912.jpeg
1559542854746.jpeg
1559542786827.jpeg
IMG_20190603_092010.jpeg
 
Uzi huu ni kwa ajili ya wale waliopiga gambe na kujikuta wanafanya mambo ya ajabu na kesho ulipoambiwa Ulibisha kweli.. Nilipiga gambe enzi nipo chuo sasa bhana nikataka kuondoka na Malaya flani wenzangu wakawa wananikatalia ikabdi wanifunge kamba wanipeleke mpaka Hostel kufika hostel unaambiwa nikakojoa kwenye korido na kutapika balaaa.. Kiukweli kesho yake nikasema sitalewa mpaka nipoteze network kabisa milele yote..

Tukio gani ulifanya la ajabu siku ulipopiga tungi ya maana??

Ivi unakumbuka siku ile mtoto wangu nimekununulia pombe ukataka chukua mama ako mdogo kinguvu?? Wewe mtoto fala sana.
 
chuo dodoma nilipga tungi....kuenda toilet nikakaa kwenye lile poti usingz ukanipitia mpaka kesho asubuhi saa4...uzuri nilifunga mlango kwahyo kila aliyekua anakuja kugonga mlango anakuta kumefungwa
 
Back
Top Bottom