Uzi wa Kutupia Screenshot za Vibomu

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,491
41,905
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa.. kama naumwa..nitumie nauli alafu haji..mama anaumwa au nimepata safari ya ghafla nina matatizo.

Screenshot kama hii..
20211013_141636.jpg
 
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa.. kama naumwa..nitumie nauli alafu haji..mama anaumwa au nimepata safari ya ghafla nina matatizo.

Screenshot kama hii..View attachment 1972976
Mzee wa kula tunda kimasikhara.
 
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa.. kama naumwa..nitumie nauli alafu haji..mama anaumwa au nimepata safari ya ghafla nina matatizo.

Screenshot kama hii..View attachment 1972976
Mtaalamu wa kuanzisha nyuzi znazoishi.. Long live
 
Back
Top Bottom