Mwanaume hanaga tabia ya kukera kamwe wewe as far as ana mkwanja hata awe anakunya kitandani anakubalika....hapo badilisha iwe za wanawake uone jins watu watakavyotiririka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijui mkuuNeno RIJALI msisitizo, hivi Ray Kigosi anaingia group lipi? Nyoshi
Sasa kama nimezaliwa na Ngozi laini mimi si mwanaume ?Mie nakerwa sana na wanaume wanaojichuna ngozi. Unamkuta kawa mweupe ghafla na ngozi lainiiii.... Ngozi ya mwanaume iwe ngumu na natural bwana. Mwenzenu nawaonaga hawa kama sio rizki yani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama issue ni mkwanja tu, basi tabia nyingine inayokera itakuwa ni Mwanaume ambaye ni bahili!Mwanaume hanaga tabia ya kukera kamwe wewe as far as ana mkwanja hata awe anakunya kitandani anakubalika....hapo badilisha iwe za wanawake uone jins watu watakavyotiririka
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi akiwa mweusi alafu ngozi laini?Mie nakerwa sana na wanaume wanaojichuna ngozi. Unamkuta kawa mweupe ghafla na ngozi lainiiii.... Ngozi ya mwanaume iwe ngumu na natural bwana. Mwenzenu nawaonaga hawa kama sio rizki yani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi akiwa mweusi alafu ngozi laini?
Unajua wanawake kama ninyi ndio mnasababisha wanaume tusioge
Wale wana kua sio riziki au inakua ni swaga kujichubuaRangi ya ngozi kama ni natural sio issue. Ila ulaini wa ngozi kwa mwanaume unakera jamani.......
Sent using Jamii Forums mobile app