Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,583
- 2,600
Mie nakerwa sana na wanaume wanaojichuna ngozi. Unamkuta kawa mweupe ghafla na ngozi lainiiii.... Ngozi ya mwanaume iwe ngumu na natural bwana. Mwenzenu nawaonaga hawa kama sio rizki yani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app