Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

Namtafuta binti mmoja anaitwa Alicia,tulikutana Dodoma wilaya ya Mpwapwa kijiji kimoja kinaitwa Chogola hukoo winza, alikuwa anasoma shule ya secondary chogola kama sikosei ilikuwa 2008,na nyumbani kwao aliniambia ni kijiji cha chalinze ambacho kipo Dodoma,mwenye kumjua naomba anijulishe,na kwa maelezo yake kipindi hicho wazazi wake walikuwa wameshafariki ila masuala ya shule kaka yake ambae alikuwa broker wa madini huko Tunduru ndio alikuwa anamsomesha huyo binti Alicia,nimemmis saana
 
HILDA KAMILE,tulikutana pale kawempe high school kampala ukasema unatokea dar nilihama na laini yangu ya mango iliokua na namba yako niliipotezea pale Akamba bus stand,ulinisaidia sana nicheki Dm,Pia Neema Emanuel ulieshiriki Maisha plus flan miaka siikumbuki ila tulisoma wote pale Old shy pia unahusika.
Pia Mwanangu Charles Majigwa wa shy town ,Erick Misaka, na pia Geofrey Mwambopa last time tumeongea ukiwa unahenya 844,nikiwa 821,kwa mzee Sheshe.
Mhindi Masanja toka pale Azimio primary pia , Mwanangu Daudi Mange nasikia uko kipande cha Mwanza ila nimekusaka mno sikupati
Naona tulikuwa majirani, mm nilikuwa midland
 
Back
Top Bottom