Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

Nilichokiona kwenye uzi huu wazee ni wengi sana sema wanaupenda ujana. Majina wanayotumia humu unaweza kudhani ni watoto wa miaka ya 1990s kumbe ni nyuma mbali kabisa. Anyway namtafuta Rosemary Kabisi mara ya mwisho tulionana Arusha 1996.
 
Namtafuta lumen Mara ya mwisho kuonana naye ilikuwa ni mlimani udsm mwaka 2010-2012 bahati mbaya hakumaliza. Kuna muda tulikuwa tunakutana kariakoo kununua bidhaa za biashara. Ni mwenyeji wa bunda Ila ni msukuma kwa ambaye anamjua anisaidie mawasiliwano yake
 
Nawatafuta Kesibe Elias, Ahazi Mwakatobe, Kibosi Joachim, Kemilembe Kamugisha, Fabian Mlozi, Maria Samson Tikiti, Tusekile Anangisye, Lilian Ndomba, Good Tarimo, Nolasco Mkole, Alfa Ntayomba, Gena Jabiri, Maria Samson, Hamisi Selemani Lieme, Kamote Bakari, Paul Mwanda, Iluminata Constantine, Hawa Noor na wengine wanaonifahamu. Napatikana kwa E-mail hmisayo6@gmail.com
Kemilembe kamugisha namba Yake ninayo
 
Nawatafuta Kesibe Elias, Ahazi Mwakatobe, Kibosi Joachim, Kemilembe Kamugisha, Fabian Mlozi, Maria Samson Tikiti, Tusekile Anangisye, Lilian Ndomba, Good Tarimo, Nolasco Mkole, Alfa Ntayomba, Gena Jabiri, Maria Samson, Hamisi Selemani Lieme, Kamote Bakari, Paul Mwanda, Iluminata Constantine, Hawa Noor na wengine wanaonifahamu. Napatikana kwa E-mail hmisayo6@gmail.com
Namtafta Janeth Katule
 
Back
Top Bottom